Elections 2010 re MAOMBI YA KULINDA KURA

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
Baba ktk jina la yesu tunaomba zoezi la kuhesabu kura liwe la haki ktk jina la yesu tunakomesha kila uchakachuaji wa kila aina ktk jina la yesu kila atakae jaribu kuchakachua akaparalaizi ktk jina la yesu haki yako ikasimame kuanzia kura zitakapo hesabiwa mpaka zitakapo hesabiwa na kutangazwa tunaharibu kila mbinu za wizi wa kura, tunapofusha macho ya wachakachuaji, watakapojaribu kumwibia dr slaa wakajikute wananzidishia ktk jina la yesu.

Amen.
 
baba ktk jina la yesu tunaomba zoezi la kuhesabu kura liwe la haki ktk jina la yesu tunakomesha kila uchakachuaji wa kila aina ktk jina la yesu kila atakae jaribu kuchakachua akaparalaizi ktk jina la yesu haki yako ikasimame kuanzia kura zitakapo hesabiwa mpaka zitakapo hesabiwa na kutangazwa tunaharibu kila mbinu za wizi wa kura, tunapofusha macho ya wachakachuaji, watakapojaribu kumwibia dr slaa wakajikute wananzidishia ktk jina la yesu.

Amen.

ameni
 
Back
Top Bottom