Re: Kwa wale wanaopenda achievement in Academics Read this CV

Ben Carson is my favourite writer! Historia yake ndio more inspiring. He is a son of a black single mother who was a domestic maid kwa wazungu, ambao yeye na kakake hawakuruhusiwa hata kutembelea mtaa. Alifeli shule at some point. Mama akawaambia 'no son of mine will live the life I live'. Kama adhabu walikuwa wanasoma two books a week na kumuandikia mama yao summary aisome weekend.

He is a proof that you can overcome your background if you put yourself up to it!

Ila CV yake inamuuza. Hizi za kina sie mnagombea kazi moja watu 2000, unahitaji not more than two pages aisee, only relevant info manake HOUR mwenyewe nae hohehahe!

your very right nakumbuka nilifanya training ya cv clinic uk wanakuambia cv isizidi 2 pages kama hiyo kazi imetangazwa na wanatarajia watu wengi kutuma cv zao ikizidi inatupwa kwenye d.bin hata kama umefanya kazi sehemu kibao weka za maana tu. sijui umri, dini, marial status hakuna kuweka
 
Back
Top Bottom