Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haisaidii hata kidogo,kunguru hafugiki tu,ila pia inaongeza uaminifu na kuaminiana si unajua tena uongo sometimes unajenga mapenzi
Sawa sawa watu wanajenga nyumba kwa siri so account ni kitu kidogo sana. Halafu after all Accounts are meant for Privacy and not anything else.Kwa kweli hiyo haisaidii chochote kwa sababu mtu unaweza kuwa na email addresses kadhaa. Unaweza ukapewa passwords za yahoo na hotmail na usijue kumbe mwenzio ana account na gmail pia.
Au hata anaweza akawa na accounts kadhaa yahoo na akakupa access katika moja na wewe ukadhani mwenzio ni mkweli na hafichi kitu kumbe wapi. Kwa hiyo kwangu haya mambo ya kupeana access za email na passwords za JF na Myface hayamaanishi chochote.
Kama mwili wako unashea nae kwanini password ushindwe?!
Kama mwili wako unashea nae kwanini password ushindwe?!
<br />Wewe unashea na nani?
hivi ni kigezo kweli cha kukabidhiana hata maakuli ya kibenki..........................na kama unashirikiana na wengi basi wote waichambue akaunti yako lol......
Wenyewe!!
washikaji?