Re: How many Tanzanians Who voted Oct 2010-13.6m or 8.5M? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: How many Tanzanians Who voted Oct 2010-13.6m or 8.5M?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Njilembera, Nov 8, 2010.

 1. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,424
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Out of Curiosity I looked at the tabulated data posted on this forum under the theme 'tathmii ya kina' and compared this with the published election results.

  Interesting, the postings by JF members on the votes cast were 13,289,721(65%) while those announced by NEC were 8,626,283 (?42%)

  I m much more inclined to believe the 65% turnout mainly because when I compared the regional figures for the most politicised regions like Arusha, the NEC figures appear unrealistically low (364,000 i.e 44% of the registered voters) while the JF figures put this at 64.9%). Similarly it becomes difficult to believe only 37% of registered Dodoma Region Voters showed up to cast their votes. I would have expected busy regions like Dar the turnout could indeed be low but not in these other places! What is your take!?

  But I must warn you! The JF figures are incredibly consistent in terms of % of voters who voted (64.9 -65% in all regions)!
   
 2. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Profesa Lipumba anatoa jibu kwetu Watanzania ni asilimia ngapi wamepiga kura, Rais amechaguliwa na asilimia 27% ya watanzania waliojiandikisha (Millioni 20) na kubainisha waliopiga kura ni milioni 8.4 tu(42.8%) na Jk amepata kura milioni 5 na ushee tu yaani 27% ya waliojiandikisha kupiga kura (Millioni 20). Pia mapungufu ya Tume ya Uchaguzi na serikali imepewa changamoto na Prof. Lipumba kuhakikisha demokrasia pana kupitia ushiriki mkubwa wa waliojiandikisha kujitokeza kupiga kura.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. sensa

  sensa JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kura ziliharibika nyingi sana,na inasadikiwa zilikuwa za Slaa.kuna habari zilikuja kupitia humu JF kwamba walikuwa wanaziharibu kwa makusudi ili apate kura chache sana.Na haiingii akilini kuharibika kura nyingi hivyo katika hali ya kwaida ila ndi hivyo wameamua.
   
 4. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,424
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Ziliharibika 227,889, lakini hawa waungwana kina Superman wanasema jumla ya kura zilizopigwa zilikuwa zaidi ya Million 13 lakini NEC wanasema ni zaidi ya Millioni 8 tu! hUONI LABDA KUNA UTATA HAPO?
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Ukweli ni kuwa haiwezekani wapigakura wapungue milioni 11 wa 2005 na haiwezekani wapigakura wapungue hivyo na kuwa 8 au milioni 3 pungufu...................na waliopigakura wengi wao ni vijana ambao ni anti-ccm....................lakini ukweli ni kuwa ufisadi ndiyo sera ya CCM na leo Takukuru wamemsafisha Bw. Vijisenti baada ya kuona masilahi ya mafisadi yapo hatarini kutoweka huko bungeni...............
  Without a solid reputation CCM is a thing of the past..................money and things money can buy last when the beholder is lying quietly in the grave but reputation lives forever and ever.............
   
 6. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is astonishing for a person like you to initiate a debate that is based on fake information/data. You should have gone through comments by contributors before coming up with your conclusion. Tell us, do you believe in a 65% turnout for all regions? If not, why this debate?
   
 7. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Haiingii akilini idadi ya wapiga kura wa 2010 wawe pongufu ya wale waliojitokeza kupiga kura wa 2005. Kama kuna ukweli katika hii namba ya milioni 13 basi itakuwa kuna idadi ya kura zinazifikia mil5 kupotezwa. Kwa upande mwingine inaweza fikiriwa kwamba kura zipatazo mil4 ama tano huwa zinapigwa nje ya vituo na kujumuishwa kwenye majumuisho ya jumla. Hii ndio kitu kilichokuwa kinawapa ujasiri ccm kutamba mgombea urais wao angeshinda kwa asilimia 87. Kama mpango wa kuziingiza kura mil4 zilizopigwa tayari basi tungetangaziwa kuwa jk ameshinda kwa asilimia 87. Baada ya kushindikana kuingiza kura ambazo zilishapigwa ndipo ilipobuniwa mbinu mbadala. SINA UHAKIKA NA HIKI NINACHOONGEA. ZA MBAYUWAYU, ONGEZA NA ZAKWAKO.
   
 8. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Haiingii akilini idadi ya wapiga kura wa 2010 wawe pongufu ya wale waliojitokeza kupiga kura wa 2005. Kama kuna ukweli katika hii namba ya milioni 13 basi itakuwa kuna idadi ya kura zinazifikia mil5 kupotezwa. Kwa upande mwingine inaweza fikiriwa kwamba kura zipatazo mil4 ama tano huwa zinapigwa nje ya vituo na kujumuishwa kwenye majumuisho ya jumla. Hii ndio kitu kilichokuwa kinawapa ujasiri ccm kutamba mgombea urais wao angeshinda kwa asilimia 87. Kama mpango wa kuziingiza kura mil4 zilizopigwa tayari basi tungetangaziwa kuwa jk ameshinda kwa asilimia 87. Baada ya kushindikana kuingiza kura ambazo zilishapigwa ndipo ilipobuniwa mbinu mbadala. SINA UHAKIKA NA HIKI NINACHOONGEA. ZA MBAYUWAYU, ONGEZA NA ZAKWAKO.
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Mwaka huu kuna watu wengi sana walipiga kura tofauti na mwaka 2005, na upigaji kura ulikuwa hauna vurugu zozote. Ninaimani kuwa kulikuwa na wapigaji zaidi ya milioni 13; tatizo ni kuwa kura zilizopigwa na raia hazikuhesabiwa na NEC, badala yake wao walihesabu za kwao zilizotoka Afrika ya Kusini.
   
Loading...