Re: Hivi dini ya Kiislam na Kikristu zina tofauti?


Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
9,876
Likes
1,712
Points
280
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
9,876 1,712 280
Wajameni, katika pitapita yangu mitaani nimegundua kuwa moja ya biashara inayoshamiri kwa kasi hapa tz ni ufyatuaji na uuzaji wa matofari. Kwasababu hii ubora wa bidhaa hii unashangaza. Matofari mengine hata jogoo akiyapiga teke yanasambalatika. Sasa swali langu ni je, bidhaa hii haina taasisi inayopaswa kuisimamia?, je tbs na wakara wa majengo hawahusiki na hili?. Ni kwanini serikali imeacha hii biashara ya hatari iendelee?. Naomba mchango wenu.
 

Forum statistics

Threads 1,236,915
Members 475,327
Posts 29,272,536