Re: Hebu toeni tafsiri ya picha hii hasa mtoto wa kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Hebu toeni tafsiri ya picha hii hasa mtoto wa kiume

Discussion in 'Jamii Photos' started by Karikenye, Oct 28, 2012.

 1. Karikenye

  Karikenye JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wamevunjiwa nyumba na Halmashauri ya JiJi la Arusha hebu angalieni hawa watoto na hasa hasa huyo wa kiume... Kamanda Lema upo??
   

  Attached Files:

 2. a

  adolay JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,071
  Trophy Points: 280

  Picha inajieleza.

  Sina tafsirI zaidi ya neno Uonezi.

  HATUNA SERIKALI BALI GENGE LA WAHUNI MAFISADI, HAWANA HURUMA KABISA NA WATANZANIA MASIKINI, KWAO

  FEDHA NDO KILA KITU, UTU HAUPO.

  Lazima serikali iwe na mkakati kwa watu wake baada ya kuwabomolea hasa wasio na kipato yaani masikini inawapeleka

  wapi? imewaandalia mazingiragani baada ya ubomowaji.
   
 3. m

  maselef JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo alipigia kura CCM
   
 4. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 5. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Anajaribu kuchemsha bongo, namna gani ya kuisaidia familia! hapo ni kama anachukua movie ya tokeo
  zima ole wake aje apate nafasi ya kusoma atapasua ile mbaya
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,757
  Trophy Points: 280
  watu bana hadi mumewaseti jinsi ya kupiga picha ya huzuni? imekaa njema lakini, serikali iangalie sana hili, naamini huyu mama huenda ni mjane
   
 7. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli inauma sana. Hatahivyo katoto kanajua CDM ipo njiani itawakomboa tu!
   
 8. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Alafu huyu mama mguu wake unaonekana mlemavu hivi?
   
 9. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Katoto ka kiume hako kamepiga alama ya CDM...kana matumaini makubwa!!
   
 10. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sasa Almashauri ya jiji imepata faida gani kwa kubomoa hivyo kama sio kuongeza umasikini? Kuna maeneo mangapi Arusha ambayo hayajaendelezwa ambayo Almashauri ingeelekeza nguvu zake kuyaendeleza badala ya kutumia nguvu na rasilimali zilizopo kubomoa kilichojengwa?

  Umasikini tunajitakia wenyewe.....Fikiria, Tuchukue hatua!
   
Loading...