RE: Gee (gyee)china

wajingawatu

JF-Expert Member
Jan 20, 2013
2,048
2,442
Naomba waliowahi kuagiza bidhaa yoyote China kupitia hii kampuni ya Gyee China watupe ushuhuda.

Hawa jamaa wana bei ndogo kwa bidhaa yoyote uagizayo kitu kinachonipa fadhaa ya moyo

Hawa jamaa wanadai wana ofisi Tabat barakuda, DSM
 
Umewakuta kwenye platform IPI? Na je wamekwambia utume hela kwnza?
 
Umesema "hawa jamaa wana bei ndogo kwa bidhaa yoyote"

Ova
 
Back
Top Bottom