Re: Friji mpya

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokana na lile la zamani basi hatimae akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao ANAE TAKA KUCHUKUA ACHUKUE BURE. Watu wakawa wanapita wanafungua lakini kila mtu akawa anaogopa kuchukua maana hakuna aliyeamini mtu anaweza akagawa friji zima bure. Baada ya kuona wiki imepita halijachukuliwa, akaandika FRIJI INAUZWA LAKI 3, usiku
uleule likaibiwa.
 
Hahahahaaa
Miaka ileee, kulikua na mtindo wa kufunga uchafu vizuri (mara nyingi kwenye boksi), kisha kuweka kwenye pikapu nyuma, halafu ukipita nayo kariakoo au manzese watu wanasepa na mzigo....
 
Mkuu naona umeamua kutumia tafida kwa hali ya juu. Sema walikuwa wanafunga mavi kwenye rambo then kwenye begi au box. Halafu ruksa kusepa nalo.
hahahahaaa
miaka ileee, kulikua na mtindo wa kufunga uchafu vizuri (mara nyingi kwenye boksi), kisha kuweka kwenye pikapu nyuma, halafu ukipita nayo kariakoo au manzese watu wanasepa na mzigo....
 
Hahahahaaa
Miaka ileee, kulikua na mtindo wa kufunga uchafu vizuri (mara nyingi kwenye boksi), kisha kuweka kwenye pikapu nyuma, halafu ukipita nayo kariakoo au manzese watu wanasepa na mzigo....

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom