Re: Falsafa ya Mzee Ndimara juu ya umiliki wa kadi ya chama kingine

Kumbe hujui unachoongea.
Akili yako imeshapumbazwa na ushabiki. Pole sana...

Mkuu.
Hii pole yako ina upendo uliopitiliza! Yaani great thinker wewe mtu akikudai ushahidi na kukupa maelezo ya ziada anakuwa amepumbazwa?! Kama kuhitaji kuujua ukweli kwa kutafuta vyanzo sahihi vya ushahidi kutoka kwa mtu wa pili ni kupumbaa basi nafurahia pumbazo langu maana ni pumbazo la maana sana kwangu.

Mmezoea kutoa kujibu majibu ya jumla jumla mkiambiwa muweke ushahidi mnajibu kwa sentensi mbili halafu mnaacha hoja ufukweni zikiwa zina mbwelambwela.
 
Ushahidi gani zaidi unaohitajika zaidi ya maneno yake mwenyewe aliyotoa ya kukiri?
Ah!!!!!!!!! Kwamba Dr analipia kadi yake hatuwezi kuamini. Hiyo ni propaganda tupu. Tumeipuuza. Kikubwa tutamshauri aiweke kwenye maktaba ya CDM pamoja na za wengine ambao wasingependa kutia kiberiti za kwao kama kumbukubu ya walipokuwa watumwa wa magamba.Changamoto kwa wana wa magamba ikiwa mnadhani doctor anawasaidia kelele za nini???????? Hapa CDM mtu yeyote anayesaidia ukombozi wa taifa hili anakaribishwa. Na anatizamwa kwa kazi na ufanisi wake.
 
Nimechoka na habari ya makad njoon mumchuke bas.kwani bila dr hamuwezi kuendesha shuphuli zenu?dr nijembee toka miaka karibia !8 leo ndio mmemkumbuka?kweli mabwepandeee
 
Kama Slaa anaona umuhimu wa kuitunza kadi yake, kwanini amekuwa mstari wa mbele kukusanya kadi za CCM za wenzake na kuzichana na kuchoma moto? Kwahiyo kadi yake yeye iheshimiwe ila za wengine zichomwe moto???
Vilevile, kuwa na kadi ni one thing na kuilipia ada ni another thing. Kuilipia ada ni kumaanisha kuwa Slaa ni mwanachama HAI wa CCM.
Mnaweza kutafuta spin na porojo mbalimbali, lakini wenye akili wameshaelewa kinachoendelea kama jinsi alivyosema Dr. Slaa mwenyewe kuwa "akiba haiozi".

kichwa ngumu wewe.
 
Mkuu ZeMarcopolo

Kamanda Mtoi amekutaka ujibu hoja, mbona unakimbia?

Mkuu Makene
Hawezi kurudi maana ameandaliwa kujibu na kupost propaganda sio hoja zenye mantiki na umahiri wa kuzisimamia. Na hiyo ndio tofauti kubwa iliyoopo kwenye mitandao kati ya vijana wa chadema na ccm.
 
Last edited by a moderator:
Umbumbumbu mwingine ni wa kujitakia. Jambo liko wazi kabisa na wala porojo za Ndimara haziwezi kujibu maswali ya msingi ambayo ni
1. Kwanini Slaa alindelea kulipia kadi?
2. Katiba ya CHADEMA inakataza waziwazi umiliki wa kadi mbili, je kwanini Katibu Mkuu wa chama awe mwanachama wa vyama viwili kwa siri?
3. Aliposema "akiba haiozi" alimaanisha nini? Kama Slaa amejiwekea akiba hiyo, anamshauri mwana CHADEMA "wa kawaida" ajiwekee akiba gani???

slow learner.
 
Kama Slaa anaona umuhimu wa kuitunza kadi yake, kwanini amekuwa mstari wa mbele kukusanya kadi za CCM za wenzake na kuzichana na kuchoma moto? Kwahiyo kadi yake yeye iheshimiwe ila za wengine zichomwe moto???
Vilevile, kuwa na kadi ni one thing na kuilipia ada ni another thing. Kuilipia ada ni kumaanisha kuwa Slaa ni mwanachama HAI wa CCM.
Mnaweza kutafuta spin na porojo mbalimbali, lakini wenye akili wameshaelewa kinachoendelea kama jinsi alivyosema Dr. Slaa mwenyewe kuwa "akiba haiozi".

dr slaa huwa hakusanyi kadi ya mtu yeyote ili ikachomwe.bali zinapelekwa na watu wenyewe ili zikachomwe baada ya kuchoshwa na ccm na serekali yake.ni sawa na kutupa jongoo na mti wake.
 
Ndimara!!!!!!!!!!! Ah!!!!!. Yule kada wa CCM?
Mkuu tunaitika ndiyo kwa taswira uliyoonesha hapa juu. Lakini kwa kuwa kiukweli sisi wengine hatutaki hata kusikia harufu ya JAMAA WA KIJANI basi ni vizuri kiongozi wetu na kipenzi Dr wa ukweli na wana CDM wote wenye kadi za Magamba wazikabidhi kadi hizo ili zihifadhiwe kwenye maktaba itakayoanzishwa na CDM makao makuu. Hakika tusidharau wingu linaloendelea maana lina athari zake kisiasa. Pili siungi mkono hata kidogo kwa hao wanojiita viongozi wa BAVICHA na matamko yao, ninafahamu chama kina mfumo wake wa kujadili mambo yake hivyo tulitarajia hao jamaa kufuata nidhamu hiyo. Wakumbuke yaliyowapata NCCR mageuzi na baadaye TLP miaka ya 2007 na kuendelea. Tusingependa yatokee CDM. Ni lazima viongozi wawe na nidhamu. Na wajiulize hayo matamko yanamfaidisha nani hasa???

Mkuu.
Msome tena Mzee Ndimara. Umeuliza kuwa "yule kada wa ccm"? Kwa maelezo yake mzee Ndimara anasema "Sikuwahi kuwa na kadi ya litoto lake CCM. Sikuwahi kuwa na kadi ya Umoja wa Vijana wa CCM.
Lakini bado nina kadi yangu ya TYL".

Ninacho kumbuka amewahi kuwa NCCR Mageuzi na kama sikosei amewahi kuwa hata mbunge kwenye miaka ya 1995 (Niko tayari kukoselewa kama si sawa). Sijajua kwa sasa anasimamia itikadi ya chama gani lakini kwa sisi tuliokuwa tunamsoma na kumfuatilia kwenye mwanahalisi na kwenye blog yake anaonekana hana mtazamo wa fikra za kimagamba bali amejikita zaidi kutoa shule ya nguvu kwenye maandiko yake.

Namheshimu sana kwa jinsi anavyojua kusogeza sawasawa kisu kwenye mfupa.

Mengine yote uliyoyasema yannahitaji kufanyiwa kazi kwa namna ya pekee. Hongera na asante kwa hilo.
 
dr slaa huwa hakusanyi kadi ya mtu yeyote ili ikachomwe.bali zinapelekwa na watu wenyewe ili zikachomwe baada ya kuchoshwa na ccm na serekali yake.ni sawa na kutupa jongoo na mti wake.

Kwahiyo yeye Slaa hajachoshwa na CCM na serikali yake na hataki kutupa jongoo na mti wake?
 
Mkuu ZeMarcopolo naona umerudi. Kwa heshima na taadhima naona zitendee haki hoja zangu kwa kujibu moja baada ya nyingine. Sitaki kuamini kuwa wewe ordinary thinker unaye anza kujenga msingi wa chekechea kwenye mtima wako.
 
Last edited by a moderator:
zeemarcopolo hajui anayoongea nimemwmbia atoe proof naona anjing'ata kucha labda tumpe mda.
 
zeemarcopolo hajui anayoongea nimemwmbia atoe proof naona anjing'ata kucha labda tumpe mda.

Mkuu.
Umenivunja mbavu sana! Umesema "tumpe muda"? Bila shaka atakuwa ameingia chimbo kwenye kutafuta ushahidi wenye mashiko. Mimi naona akichelewa kurudi tutumie ile mbinu ya darasa la kwanza. TUMPE MJI!
 
Sikuwahi kukata kadi ya chama hicho.

Sikuwahi kuwa na kadi ya TANU.
Repetitive.

Lakini nina kadi ya Umoja wa Vijana wa TANU (Tanu Youth League - TYL).

Lakini bado nina kadi yangu ya TYL.
Na hicho nacho ulishakisema.

Nadhani kuna kitabu cha sekondari tulisoma cha huyu Ndimara. Kumbe walikuwa wanatufundisha kuandika madudu tupu man!
 
Siioni mantiki ya ndimara katika hili maana haina majibu ya maswali mama ya kumiliki kadi za vyama viwili na anazilipia zote huku yeye akiwa mstari wa mbele kukusanya za wenzake hadharani
Mkuu, hapo kwenye kulipia si kweli. Aliyeleta madai hayo anapaswa alete na uthibitisho.

Kama mtu akiamka akatamka jambo lolote la likachukuliwa bila kuhojiwa, tutafika pabaya.

Kumbuka propaganda za sasa hivi za kisiasa, kupotosha ni mtaji mkubwa wa wanasiasa. Na hapa kuna kupotosha, unless walete uthibitisho wa kulipia.
 
Mkuu.
Tulia kidogo maana unaonekana una mhemko sana! Haya mambo yanahitaji akili iwe sober na objective ndio tujadiliane. Lakini pia yanahitaji critical thinking and visionary analysis.

1.Una ushahidi kuwa Dr Slaa anailipia/amelipia kadi ya ccm? Kama ndio weka ushahidi twende sawa maana great thinkers hawana tabia ya kuzomoka bila ushahidi.

2. Umesema "katiba ya chadema hairuhusu mtu kuwa na kadi mbili" (sema ni ibara gani acha kuleta majibu ya jumla). Lakini pia naona hapa una maanisha kadi kwa maana ya kadi tu au uwanachama wa chama kingine? (Kumbuka kuwa mtu una ruhusiwa kuwa mwanachama wa chama kimoja tu! Haijasemwa kuwa usiwe na kadi tingine maana walijua kuwa huenda mtu akahama kutoka chama kimoja kwenda chama kingine)

3. Amesemea wapi kuwa hakiba haiozi? Na jee mtu akisema hakiba haiozi akili ya kawaida inakushughulisha kutaka kujua zaidi ya hapo au umeangalia kwa miwani ya kadi peke yake?

Unachotakiwa kukijua.
1. kisheria kadi unayo inunua kwa pesa zako ni mali yako si mali ya chama. Ukihama chama au kuacha kuilipia ni haki yako/ridhaa yako kubaki nayo, kuichoma, kuitupa au kuihifadhi. Hakuna mtu anayeweza kukudai kadi uliyo nunua kwa pesa zako.

2. Kadi ambayo si mali yako ni kama kadi za benk, au kitambulisho cha kazi. Hizi zinakuwa mali ya benki au mali ya waajiri. Ukiacha kazi moja ya sharti kubwa ni kurejesha kitambulisho hicho.

Kama hivyo ndivyo fungua milango yako ya fahamu bila kuwa na chembe ya propaganda na uruhusu tafakuri tunduizi (critical thinking) kichwani mwako.

Karibu kwa hoja.

acha maneno mengi tunza kadi yako ya CCM kama atunzavyo katibu wako si unajua usitupe mbachao kwa msala upitao.Slaa anazingatia sana huu msemo namsifu kutunza kadi na uhai wa kadi hiyo kwa miaka 17!
 
acha maneno mengi tunza kadi yako ya CCM kama atunzavyo katibu wako si unajua usitupe mbachao kwa msala upitao.Slaa anazingatia sana huu msemo namsifu kutunza kadi na uhai wa kadi hiyo kwa miaka 17!

Mkuu.
Ndio umeshajibu hoja na umeingia mitini. Na wewe umeleta maneno au vitamshi vya mdomo.
 
Mie naomba tusaidiane kuelimishana: hivi kuwa na kadi peke yake inatosha kwa uanachama?
 
Back
Top Bottom