Elections 2010 Re: Dr Slaa atafanya nini baadaye

Bob_Dash

Member
Nov 1, 2010
90
13
Katika post za awali kuna mtu mmoja ameuliza swali hilo, mimi naona nimjibu kwa mtazamo wangu binafsi, kwa ufupi Dr Slaa ataingia Bungeni muda si mrefu, kumbuka huwa kunakuwaga na chaguzi mdogo kwamfano endapo Mbunge KAVUTA, na nina hakika kwa hii mijeredi waliyochapwa CCM nafasi hizo za jammaa Wabunge wa CCM kuvuta ni kubwa mno, na nina uhakika akigombea ubunge kwenye jimbo lolote lile nafasi ya kushinda is almost 100%, hasa ukizingatia TIMU YA MACHAMPION WA CHADEMA iliyopo Bungeni kwa sasa.
 
mmmmh,unawazia watu kufa au ndo yahaya kaingia humu???

Ushindwe hafi mtu kama ni kwa mawazo hayo
 
Back
Top Bottom