Re: Dr. Shein amesusia vikao vya cabinet, je wabunge wa Znz nao watasusia bunge la muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Dr. Shein amesusia vikao vya cabinet, je wabunge wa Znz nao watasusia bunge la muungano?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Mar 24, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0  [​IMG] Originally Posted by JokaKuu [​IMG]
  ..Raisi wa Znz, Dr.Shein, amesusa kuhudhuria vikao vya baraza la mawaziri wa serikali ya muungano.

  ..je, huyu anatunisha misuli kwamba Zanzibar hawataki muungano?

  ..je, wabunge wa Zanzibar kwenye bunge la muungano nao watamuunga mkono Raisi wao?

  ..au, kwanini wabunge wa Zanzibar hawajafuata msimamo wa Raisi wa Zanzibar kususia masuala ya muungano?

  ..hivi Makamu wa Raisi, Dr.Bilali, mawaziri toka Zanzibar, na wabunge wao, wakipanda speed boat na kurudi Zanzibar wakisusia shughuli za muungano, what will happen?  Jokakuu
  Kwanza huyo Dr Bilali sio wakumuliza suali hilo, yeye kwa sheria ya Zanzibar 1984 na wzanzibar wenyewe hatumtambuwi cheo chake Zanzibar kipo kwa Maana gani?a.) b.) Jiulize wewe mwenyewe Jokokuu ikiwa Wzanzibar watasema ktk uchaguzi wa 2015 hawato piga kura ya Raisi wa Muungano wala Wabunge wa Muungano what will happen Muungano?.
  Kwa sababu Dr Bilali sio kiungo cha Muungano kiungo cha Muungano kilichobakia ni Wzanzibar kushiriki kupiga kura za Raisi wa Muungano na wabunge ikiwa tutagoma basi ndio kufa kwa Muungano.​
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Walivyo na njaa unadhani watakata? Wabunge kama Mohamed Rash (wawi) atasusia??? Njaa kali, wacha waje tu!
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hebu fungulia wazo lako uzuri toka kabatini huko kichwani mwako kwa hueleweki na jinsi ulivyozungusha thread ya mwenzio ambayo tayari tumeijadil siku chache zilizopita hadi kuifanya iwe ni yako tena kwa tarehe ya leo hii; mmmhhh...!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...