RE:Bsc PROPERTY AND FACILITIES MANAGEMENT. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RE:Bsc PROPERTY AND FACILITIES MANAGEMENT.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Da vincci, Oct 17, 2010.

 1. Da vincci

  Da vincci Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 9, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  WanaJF naomba kuuliza juu ya hiyo kozi tajwa hapo juu itolewayo na ARDHI UNIVERSITY.Ningependa kwa yeyote mwenye uelewa zaidi na kozi hii anisaidie kujua kwa hapa Tanzania ina inauhitaji wa kiasi gani ktk soko la ajira,faida zake,hasara,mishahara yake nk.Unaweza kum recommend mtu akaisome?
   
 2. Eng. SALUFU CA

  Eng. SALUFU CA Senior Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fahamu vizuri juu ya hiyo BSc. Ila mimi nimesoma MSc in FAcilities Management itolewayo na Leeds University, it is a good and useful course and pays, kwa hiyo kama umepata iko sawa cha muhimu ni kukaza buti sio unatoka na Gentleman degree halafu unalaumu hamna kazi.
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  1. Property management course inadeal na landed property. Yaani majengo. Ukifaulu unaweza kuajiriwa kama Estates Manager A.k.a property manager. Unaweza kuajiriwa kwenye makampuni au mashirika yenye nyumba mfano NHC , PPF, NBC, hata muhimbili hospital.Au unaweza kufungua kampuni yako ukawa unatoa huduma hiyo kwa contract.(Outsourcing concept). hii ina maana kuwa shirika au kampuni inaingia mkataba na wewe umanage majengo yao . To manage property involves several duties few of them are , maintenance, leasing ie. looking for tenants, renting out the properties, collecting rent and solving tenants endless problems etc etc . In short its a too involving job where you interact with varying calibers of people as tenants and varying management teams of various organization you may be working with. Eventually you find yourself dealing with buildings, and lives of people meaning shelter as a necessary human requirement with business in mind (profit)

  2.Katika property management kuna mambo ambayo ukiacha majengo utakutana nayo na ili uweze kukabilina nayo unapaswa kujua facilites management . Hii ni mwendelezo wa property management kwa maana ya majengo ukijumlisha soft servises kama vile mazingira, utilities like power and water, procurement of various goods and services, management of human resources in the organizations departmental and property department in particular, managing contracts, eg cleaning contracts etc etc .Ndio maana inaitwa Property and facilities management.

  3. Course hii inamjenga mwanafunzi katika nyanja nyingi sana .Economics, laws, valuation, environmental, ITC , etc. Zaidi sana inamjenga mtu kuwa mjasiriamali wa ukweli maana yote utakayofanya ni bussiness orieted kwa maana ya kufanya shirika au kampuni itengeneze faida na iendelee kuwepo.

  4. Kama kuna course nzuri hii ni mojawapo .wala usihofu kurecommend kwa yoyote. Ila masomo yake sio marahisi hata kidogo na nafasi za chuo ni chache maana hutolewa na chuo kimoja tuu Tanzania nacho ni Ardhi .Ukitaka maelezo zaidi ni PM au nenda ARU, Lands Department kama uko Dar.
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kwa Ulimwengu huu tuliopo hakuna kozi ya ARU isiyolipa!!
  Dive Head first!!:dance:
   
 5. Da vincci

  Da vincci Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 9, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kila napokua JF najihisi kama nipo nyumbani..i dont know what to say zaidi ya thank u very much indeed..yani haswa umenijibu na kunisaidia vya kutosha..God bless u brother..am goin to take it..
   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Any thing you did not understand come back to me. Jifunze kupm mdogo wangu
   
 7. Da vincci

  Da vincci Member

  #7
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 9, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thanx bro but sijakuelewa kupm ni nini?
   
Loading...