Re: Baraza la usalama la umoja wa mataifa huwa wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Baraza la usalama la umoja wa mataifa huwa wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by QUALITY, Feb 23, 2011.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi nimesikia Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likikemea mataifa kwa vitendo vya kutumia nguvu dhidi ya wananchi. Leo katika BBC Baraza la usalama la umoja wa mataifa limeionya Libya dhidi ya matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi. Lakini Tanzania imefanya vitendo vya matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi siyo mara moja.

  Twaka 2001 huko Zanzibar tunakumbuka yaliyotokea. Katika vyuo vikuu tumeona. Hapa Dar (CUF na katiba) tumeona. Huko Arusha (Chadema na mandamano) nayo tumeyaona.

  kwanini Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa huwa hayaoni haya?!
   
Loading...