Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,182
- 1,490
Wakuu Habari za majukumu ya kila siku naomba kufahamishwa maana na kazi za hivi vikao ambavyo kimsingi vilikuwaga vinakaliwa kulingana na ngazi huzika mfano
RCC-ilikiwa inahusisha viongozi wa vyama vya Siasa wa Mkoa husika na ofisi ya mkuu wa Mkoa huo.
DCC-Ilikuwa inakaliwa na viongozi wa wilaya wa vyama vya Siasa na mkuu wa wilaya husika.
Sasa kwa hapa Dodoma hivi vikao havikai tena na labda tangu awamu ya Tano kuingia madarakani havijawahi kukaa kabisa,ndo nikawa najiuliza maswali ambayo naomba mnisaidie majibu
1.Umuhimu wa hivi vikao ni upi?
2.Kazi ya hivi vikao ni zipi
Naomba kuwasilisha huku nikawa na mategemeo ya kujifunza kutoka kwenu wanajamvi!