RCC NA DCC maana yake ni nini?

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,057
2,000
Wakuu Habari za majukumu ya kila siku naomba kufahamishwa maana na kazi za hivi vikao ambavyo kimsingi vilikuwaga vinakaliwa kulingana na ngazi huzika mfano

RCC-ilikiwa inahusisha viongozi wa vyama vya Siasa wa Mkoa husika na ofisi ya mkuu wa Mkoa huo.

DCC-Ilikuwa inakaliwa na viongozi wa wilaya wa vyama vya Siasa na mkuu wa wilaya husika.

Sasa kwa hapa Dodoma hivi vikao havikai tena na labda tangu awamu ya Tano kuingia madarakani havijawahi kukaa kabisa,ndo nikawa najiuliza maswali ambayo naomba mnisaidie majibu

1.Umuhimu wa hivi vikao ni upi?

2.Kazi ya hivi vikao ni zipi

Naomba kuwasilisha huku nikawa na mategemeo ya kujifunza kutoka kwenu wanajamvi!
 
ki2c

JF-Expert Member
Jan 17, 2016
2,649

Kama RCC unamaanisha RC,basi ni kifupi cha Regional Commissioner, ambaye kwa kiswahili ni mkuu wa mkoa na DCC kama ulikua unataka kuandika DC,ni kifupi cha District Commissioner,ambaye kwa lugha ya kiswahili ni mkuu wa mkoa.
 
GRANDPUBA

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
553
500
RCC - Regional Consultancy Commitee.

DCC - District Consultancy Commitee.

Bila shaka hivi ni moja ya vikao vya juu kabisa katika level ya Mkoa na Wilaya vinavyokutana kutathmini, kushauri na kuamua masuala mbalimbali ya kimaendeleo katika Mkoa/ Wilaya husika.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
8,978
2,000
Kama RCC unamaanisha RC,basi ni kifupi cha Regional Commissioner, ambaye kwa kiswahili ni mkuu wa mkoa na DCC kama ulikua unataka kuandika DC,ni kifupi cha District Commissioner,ambaye kwa lugha ya kiswahili ni mkuu wa mkoa.
RCC=Regional Consultative Committee
 
maalon

JF-Expert Member
Feb 14, 2015
386
250
Wakuu Habari za majukumu ya kila siku naomba kufahamishwa maana na kazi za hivi vikao ambavyo kimsingi vilikuwaga vinakaliwa kulingana na ngazi huzika mfano

RCC-ilikiwa inahusisha viongozi wa vyama vya Siasa wa Mkoa husika na ofisi ya mkuu wa Mkoa huo.

DCC-Ilikuwa inakaliwa na viongozi wa wilaya wa vyama vya Siasa na mkuu wa wilaya husika.

Sasa kwa hapa Dodoma hivi vikao havikai tena na labda tangu awamu ya Tano kuingia madarakani havijawahi kukaa kabisa,ndo nikawa najiuliza maswali ambayo naomba mnisaidie majibu

1.Umuhimu wa hivi vikao ni upi?

2.Kazi ya hivi vikao ni zipi

Naomba kuwasilisha huku nikawa na mategemeo ya kujifunza kutoka kwenu wanajamvi!
Hakuna fedha ya kuwalipa wajumbe posho ya kikao ambayo ni shs 200,00/= kwa mwenyekiti pia na kwa katibu wa kikao hicho na wajumbe ni shs 150,000/= Kila mmoja
 
mtz daima

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
1,564
1,500
Wakuu Habari za majukumu ya kila siku naomba kufahamishwa maana na kazi za hivi vikao ambavyo kimsingi vilikuwaga vinakaliwa kulingana na ngazi huzika mfano

RCC-ilikiwa inahusisha viongozi wa vyama vya Siasa wa Mkoa husika na ofisi ya mkuu wa Mkoa huo.

DCC-Ilikuwa inakaliwa na viongozi wa wilaya wa vyama vya Siasa na mkuu wa wilaya husika.

Sasa kwa hapa Dodoma hivi vikao havikai tena na labda tangu awamu ya Tano kuingia madarakani havijawahi kukaa kabisa,ndo nikawa najiuliza maswali ambayo naomba mnisaidie majibu

1.Umuhimu wa hivi vikao ni upi?

2.Kazi ya hivi vikao ni zipi

Naomba kuwasilisha huku nikawa na mategemeo ya kujifunza kutoka kwenu wanajamvi!
Kwa ufahamu wangu Naomba nielezee kidogo kuhusu RCC alafu nitakuomba ujiongeze kuhusu DCC.

RCC stands for Regional Consultative Committee yaani Kamati ya Ushauri ya Mkoa. Ni matumaini yangu utaelewa kazi yake kwa kuanzia na jina lenyewe. Ni kikao cha juu katika mkoa kinachojadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo katika Mkoa. Kamati hizi zipo kisheria na vikao vyake hufanyika mara mbili kwa mwaka.

Wajumbe wake

1. RC Mwenyekiti
2. RAS katibu
3. Wabunge wote katika mkoa
4. Viongozi wa vyama vya siasa katika mkoa
5 wakuu wa Wilaya
6. Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri
6. Wakurugenzi wa Halmashauri
7. Wataalam wote katika ngazi ya Mkoa
8 Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa.

Naomba kuwasilisha
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,255
2,000
RCC - Regional Consultancy Commitee.

DCC - District Consultancy Commitee.

Bila shaka hivi ni moja ya vikao vya juu kabisa katika level ya Mkoa na Wilaya vinavyokutana kutathmini, kushauri na kuamua masuala mbalimbali ya kimaendeleo katika Mkoa/ Wilaya husika.

Regional/District Consultative Commitees
 
Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,057
2,000
Kama RCC unamaanisha RC,basi ni kifupi cha Regional Commissioner, ambaye kwa kiswahili ni mkuu wa mkoa na DCC kama ulikua unataka kuandika DC,ni kifupi cha District Commissioner,ambaye kwa lugha ya kiswahili ni mkuu wa mkoa.
Tujivunze kwa pamoja nadhani na ww kuna jambo hujui hapo
 
Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,057
2,000
RCC - Regional Consultancy Commitee.

DCC - District Consultancy Commitee.

Bila shaka hivi ni moja ya vikao vya juu kabisa katika level ya Mkoa na Wilaya vinavyokutana kutathmini, kushauri na kuamua masuala mbalimbali ya kimaendeleo katika Mkoa/ Wilaya husika.
Asante mkuu kwa ufafanuzi sasa kama havikai tunafanyaje?
 
Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,057
2,000
Kwa ufahamu wangu Naomba nielezee kidogo kuhusu RCC alafu nitakuomba ujiongeze kuhusu DCC.

RCC stands for Regional Consultative Committee yaani Kamati ya Ushauri ya Mkoa. Ni matumaini yangu utaelewa kazi yake kwa kuanzia na jina lenyewe. Ni kikao cha juu katika mkoa kinachojadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo katika Mkoa. Kamati hizi zipo kisheria na vikao vyake hufanyika mara mbili kwa mwaka.

Wajumbe wake

1. RC Mwenyekiti
2. RAS katibu
3. Wabunge wote katika mkoa
4. Viongozi wa vyama vya siasa katika mkoa
5 wakuu wa Wilaya
6. Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri
6. Wakurugenzi wa Halmashauri
7. Wataalam wote katika ngazi ya Mkoa
8 Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa.

Naomba kuwasilisha
Asante sana mkuu kwa kufafanua jambo hili na naomba kujua kama haviitishwi hivi vikao hatua gani za kuchukua?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom