RC wa Mbeya azuia watumishi kuchukua likizo

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Juma Homera amefuta likizo kwa watumishi wote wa Serikali mkoa huo ambao idara zao zinahusika na ujenzi wa miradi ya miundombinu ya ujenzi wa vyumba vya madarasa na madawati ambapo tayari Serikali imetoa fedha za miradi hiyo.
Mkumbushe kuwa likizo ni hitaji la kisheria la mtumishi, miradi ilikuwepo wakati standing order inakuwa established, afanye mambo kwa mujibu wa sheria kanuni na taratibu!!!
 
Sijaona ubaya hapo. Huwezi kupewa kazi alafu uitelekeze unadhani nani ataimalizia??? Omba likizo ukijua huna kazi nyingne na hapo likizo inakuwa tamu. Imagine ujenzi wa madarasa wewe ofisa mtendaji ukiondoka nani atasimamia sasa na mwisho n tarehe 15 December. Ungejua kuwa unataka likizo bila shaka ungetekeleza ujenzi haraka kabla ya tarehe. Msiwe walalamikaji tu. Acha kazi iendelee hakuna kutegea aseee
 
Back
Top Bottom