RC Kagera, DC Bukoba na Wataalamu wa Kilimo na Misitu tembeleeni kijiji cha Buzi Kata Kaagya kuna tatizo lisipotatuliwa ni kilio kwa Mkoa wenu

Wakati tunakua miaka ya 90 tulikuwa tukiogopa hilo eneo la Buzi maana kulisifika uwepo wa wachawi wanaokula nyama za watu, wahanga wakubwa wakiwa machinga.

Tukirudi kwenye mada, ni bora mamlaka husika ikasikia hiki kilio haraka iwezekanavyo na kupata ufumbuzi haraka kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
Jaribu kufanya mawasiliano na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukoba, mama Fatina Laay, ni mama msikivu sana na myenyekevu sijawahi kuona mkurugenzi wa namna hii, hakika huyu mama wa kipekee, hata ungempigia simu usiku wa manane ukiwa na shida anakusikiliza na anakusudia , hana majivuno wala kiburi, anasikiliza mtu yeyote na anawajibika kwelikweli, huyu mkuu wa Wilaya inaweza kuwa ngumu kukusikiliza jaribu kumtafuta Mkurugenzi atakutumia wataaluma haraka sana
 
Back
Top Bottom