RC wa Dar Jumamosi kukutana na wadau wa Barabara Nyerere C.Hall... live Channel Ten

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salama Jumamosi atakutana na wadau wote wa Barabara wa Mkoa ili kujua matatizo ya Barabara na mikakati ya kuyatatua.

Wadau hao ni Tanroads,Sumatra nk

Channel ten na Magic FM redio watarusha matangazo hayo moja kwa moja kutoka ukumbi wa Mwl Nyerere.
 
Huyu jamaa anapenda sana mapichapicha ! Mbona wakuu wengine wa mikoa wanaongoza tu vizuri bila haya mapichapicha ? Umri ni moja ya factor muhimu katika uongozi.
Sasa unataka aongoze bila ya mapicha picha?mnalilia uwazi na ukweli serikalini na bunge live kwa sababu gani?
Nenda kwenye mkutano ukatoe duku duku lako,Tanroads nao wameanza kutoza fine 200,000 ukitanua,unakaa tu unapinga na kubeza kila kitu shauri yako
 
Kumbukumbu zangu zinanionyesha ukishakuwa na kashfa ya vyeti vyeki huwezi kuwa na ushawishi wa kitu chochote Mfano wangu mzuri ni Kihiyo. Kwanza unakuwa haujiamini tena hata watu wakiwa wanazungumza kule nyuma mambo yao wewe unaanza kuwaza wananisema. Makonda habari yake ni kwisha ni Ngosha tu anamshikilia hapo lakini in reality he is a dead man walking.
 
Unamaanisha huyu jamaa ni working dead? Do.

Sent using Iphone 7+
 
bashite huyuhuyu?
 
Attachments

  • Screenshot_20170815-163243.png
    Screenshot_20170815-163243.png
    86.5 KB · Views: 42
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salama Jumamosi atakutana na wadau wote wa Barabara wa Mkoa ili kujua matatizo ya Barabara na mikakati ya kuyatatua.

Wadau hao ni Tanroads,Sumatra nk

Channel ten na Magic FM redio watarusha matangazo hayo moja kwa moja kutoka ukumbi wa Mwl Nyerere.

Itakua saa ngapi mkuu ili Ukawa wote tuwe standby kumfuatilia mhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bw Paul C. Makonda.
 
Back
Top Bottom