Atakuwa kalima mchicha wa kwenye makopo pale juu ghorofani...Umewahi kulima?
Atakuwa kalima mchicha wa kwenye makopo pale juu ghorofani...Umewahi kulima?
Pamoja na kuziba njia, hata watembea kwa miguu siku hizi ni foleni kariakooMachinga kwenda kuweka vibanda vya mbele ya fremu zinazolipa kodi zote stahiki na wao waondolewe
Hapana mkuuUmewahi kulima?
Wee nae kiherehere tu Kwanza hata hujaulizwa weweAtakuwa kalima mchicha wa kwenye makopo pale juu ghorofani...
Ndo kunisuta hadharani? angalau ungenisitiri kule pm....Wee nae kiherehere tu Kwanza hata hujaulizwa wewe
Kulima kunahitaji pesa. Nyingi.Hapana mkuu
na wewe ni mmoja wa mawakala?Huyu naye anaanza uongozi Kwa sifa. Muda si mrefu ataharibu
inaonekana matajiri wanawatumia ndio maana ni vigumu kuondolewa,Hawa ombaomba ni matajiri sana maana wanauhakika kulaza 50 elf mpaka elf 80.....kwa kipato wanawazidi hadi watumishi wa umma....ila ni ngumu sana kuwaondoa mjini
Ndy mkuu,ninawaunulia Viti vya magurudumu na kuwaambia jioni waniletee hesabu yangu..upepo wa biashara unaenda vizuri baada ya mama kuingiana wewe ni mmoja wa mawakala?
Ameshaharibu, we inawafukuza wenyeji wako ulio wakuta badala ya kuwasadia shida zao.Huyu naye anaanza uongozi Kwa sifa. Muda si mrefu ataharibu