RC wa Dar es Salaam kutoa usafiri kwa Ombaomba wanaotaka kurudi makwao mwezi wa 6

Hawa ombaomba ni matajiri sana maana wanauhakika kulaza 50 elf mpaka elf 80.....kwa kipato wanawazidi hadi watumishi wa umma....ila ni ngumu sana kuwaondoa mjini
inaonekana matajiri wanawatumia ndio maana ni vigumu kuondolewa,
 
na wewe ni mmoja wa mawakala?
Ndy mkuu,ninawaunulia Viti vya magurudumu na kuwaambia jioni waniletee hesabu yangu..upepo wa biashara unaenda vizuri baada ya mama kuingia

Mkuu wa mkoa ana mambo mengi ya kuanza Nayo,hili na la kukataza vigodoro yalipaswa yawe ya mwishomwisho ktk vipaumbele vyake vya kuleta mabadiliko ktk mkoa wa Dar
 
Alete usafiri na huku ZANZIBAR awarejeshe makwao Bara. Huku wamejaa na kila siku wanaongezeka.
 
Back
Top Bottom