RC Tanga, Martin Shigella hakupaswa kwenda kinyume na kauli ya Rais, amekosea na alikosea!

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,204
42,063
Wasalaam wana jamvi!

Pamoja na matatizo yetu hasa ya Corona kama watu wengine!

Pamoja na watu wetu hasa Madereva kulalamika dhidi ya kutendewa vibaya uko mipakani lakini sisi watanzania tumekuwa na utulivu na kutowafanyia vibaya au kuto wazuia wakenya wala nchi nyingine kuingia Tanzania !

Nilifurahishwa sana na msimamo wa Rais wa kutokubali kuingia mkenge wa kufunga mipaka na kuwabagua Raia wa nchi zingine kwa kigezo cha Corona na kulipiza kisasi!

Kauli ya Martin Shigella mkuu wa mkoa wa Tanga kwakweli imeichafua hotuba ya Rais na imeenda kinyume na kauli ya Rais ambayo ilikataza kufungiana na kubaguana!

Martin Shigela amezalisha matatizo yasiyo na msingi kabisa alitakiwa kuyatafakari kabisa!

Matatizo haya yanapaswa kuwatatuliwa bila kukurupika!

Kimsingi naona Martin Shigela amekosea sana alipaswa kutulia kwanza!
 
Kwa hiyo unafikiri ni chizi kajiamulia yeye mwenyewe kwenda na kutoa agizo hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Martin shigela RC hana jeuri ya kufunga mpaka wowote wa nchi hii mamalaka hayo anayo Rais tu ukiona amefanya ivo basi kapewa order kufanya ivo ila pia hawa kenya tumesha waonya sanaa kuhusu hatua wanazochukua kuwa sio realistic na waache drama za kujionesha hakuna mtu atakupongeza eti una corp na who ile hali raia wako wanakufa njaa na uchumi unadondosha. Haya mambo ya curfew na lockdown ni unrealistic, Tuchukue tu tahadhari
Ila Pia RC ameongea kimhemko sana angefikisha tu ujumbe akatulia mana kenya na Tanzania ni kama mke na mume sasa wakigombana hawa wewe mtoto ni bora uwe makini sana ili usije ukaegemea upande mmoja zaidi mana muda wowote wanapatana ivo kenyata ataomba yaishe na mzee mkubwa .
 
Wasalaam wana jamvi!

Pamoja na matatizo yetu hasa ya Corona kama watu wengine!

Pamoja na watu wetu hasa Madereva kulalamika dhidi ya kutendewa vibaya uko mipakani lakini sisi watanzania tumekuwa na utulivu na kutowafanyia vibaya au kuto wazuia wakenya wala nchi nyingine kuingia Tanzania !

Nilifurahishwa sana na msimamo wa Rais wa kutokubali kuingia mkenge wa kufunga mipaka na kuwabagua Raia wa nchi zingine kwa kigezo cha Corona na kulipiza kisasi!

Kauli ya Martin Shigella mkuu wa mkoa wa Tanga kwakweli imeichafua hotuba ya Rais na imeenda kinyume na kauli ya Rais ambayo ilikataza kufungiana na kubaguana!

Martin Shigela amezalisha matatizo yasiyo na msingi kabisa alitakiwa kuyatafakari kabisa!

Matatizo haya yanapaswa kuwatatuliwa bila kukurupika!

Kimsingi naona Martin Shigela amekosea sana alipaswa kutulia kwanza!

Atulie alafu? Acha hoja za uwoga na poor mentality, ww unaingiziwa kidole jichoni mara kadhaa unacheka cheka tu, yaani sie ndio wenye Corona tu, nyang'au hawana.
 
Mh Shigela yuko sawa, Wakenya wasenge sana.
Wasalaam wana jamvi!

Pamoja na matatizo yetu hasa ya Corona kama watu wengine!

Pamoja na watu wetu hasa Madereva kulalamika dhidi ya kutendewa vibaya uko mipakani lakini sisi watanzania tumekuwa na utulivu na kutowafanyia vibaya au kuto wazuia wakenya wala nchi nyingine kuingia Tanzania !

Nilifurahishwa sana na msimamo wa Rais wa kutokubali kuingia mkenge wa kufunga mipaka na kuwabagua Raia wa nchi zingine kwa kigezo cha Corona na kulipiza kisasi!

Kauli ya Martin Shigella mkuu wa mkoa wa Tanga kwakweli imeichafua hotuba ya Rais na imeenda kinyume na kauli ya Rais ambayo ilikataza kufungiana na kubaguana!

Martin Shigela amezalisha matatizo yasiyo na msingi kabisa alitakiwa kuyatafakari kabisa!

Matatizo haya yanapaswa kuwatatuliwa bila kukurupika!

Kimsingi naona Martin Shigela amekosea sana alipaswa kutulia kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam wana jamvi!

Pamoja na matatizo yetu hasa ya Corona kama watu wengine!

Pamoja na watu wetu hasa Madereva kulalamika dhidi ya kutendewa vibaya uko mipakani lakini sisi watanzania tumekuwa na utulivu na kutowafanyia vibaya au kuto wazuia wakenya wala nchi nyingine kuingia Tanzania !

Nilifurahishwa sana na msimamo wa Rais wa kutokubali kuingia mkenge wa kufunga mipaka na kuwabagua Raia wa nchi zingine kwa kigezo cha Corona na kulipiza kisasi!

Kauli ya Martin Shigella mkuu wa mkoa wa Tanga kwakweli imeichafua hotuba ya Rais na imeenda kinyume na kauli ya Rais ambayo ilikataza kufungiana na kubaguana!

Martin Shigela amezalisha matatizo yasiyo na msingi kabisa alitakiwa kuyatafakari kabisa!

Matatizo haya yanapaswa kuwatatuliwa bila kukurupika!

Kimsingi naona Martin Shigela amekosea sana alipaswa kutulia kwanza!
Kumbe wewe ndo hujui mambo yalivyo. Embu fuatilia huko Kilimanjaro, Mwanza, Mara, Arusha, Ndo utaajua kama Tanga RC Shigela amekosea???

Alafu ingia kwenye East African Forum uone madudu ya huko Kenya, ndo utagundua inabidi tukaze zaidi

Section 20
 
Toka lini mkuu wa mkoa akawa na mamlaka ya kufunga mpaka.

Huyo ni Ngosha mwenyewe, amefanya hivyo makusudi kuwashitua wakenya Kuwa nae anaweza.

Alianza Mama ana Mwigira akafunga, akaja Shigela akafunga,lilikuwa onyo.

Wangechelewa kidogo Ungesikia Gambo nae anamaliza mchezo anafunga Namanga.

Kwa kutambua Hilo ndio maana Balozi kaleta salamu za Rais Uhuru Kenyata.
 
Wasalaam wana jamvi!

Pamoja na matatizo yetu hasa ya Corona kama watu wengine!

Pamoja na watu wetu hasa Madereva kulalamika dhidi ya kutendewa vibaya uko mipakani lakini sisi watanzania tumekuwa na utulivu na kutowafanyia vibaya au kuto wazuia wakenya wala nchi nyingine kuingia Tanzania !

Nilifurahishwa sana na msimamo wa Rais wa kutokubali kuingia mkenge wa kufunga mipaka na kuwabagua Raia wa nchi zingine kwa kigezo cha Corona na kulipiza kisasi!

Kauli ya Martin Shigella mkuu wa mkoa wa Tanga kwakweli imeichafua hotuba ya Rais na imeenda kinyume na kauli ya Rais ambayo ilikataza kufungiana na kubaguana!

Martin Shigela amezalisha matatizo yasiyo na msingi kabisa alitakiwa kuyatafakari kabisa!

Matatizo haya yanapaswa kuwatatuliwa bila kukurupika!

Kimsingi naona Martin Shigela amekosea sana alipaswa kutulia kwanza!
Natofautiana na Magufuli kwenye Mengi sana tena sana kuanzia jinsi anavyo handle uchumi na mambo ya kidemokrasia pamoja na diplomasia

Ila ni ukweli kuwa Kenya hawakupaswa kuwa wanatangaza madereva waliowazuia tu kwa sababu ya virusi vya covid 19. Ilo suala lina hatari sana kwa mustakabali wa kiuchumi kwa Tanzania huko mbeleni, walitakiwa kama kutangaza basi watangaze madereva ambao wapo negative na positive au kama mmemkuta mtu positive basi mzuieni kimyakimya kwa sababu bado hajaingia kwenu.

Shigela yuko sahihi. It’s a strategy kuwa kama wanaweza kutuharibia na sisi pia tunaweza kuwaharibia zaidi. Ukimya wa Magufuli na Kabudi kwenye haya nimeupenda.

Nitatofautiana na magufuli kwenye mengi ila ulinzi na usalama, stigglers gorge na hili la kutofunga mipaka hapo nitamuunga mkono
 
Wasalaam wana jamvi!

Pamoja na matatizo yetu hasa ya Corona kama watu wengine!

Pamoja na watu wetu hasa Madereva kulalamika dhidi ya kutendewa vibaya uko mipakani lakini sisi watanzania tumekuwa na utulivu na kutowafanyia vibaya au kuto wazuia wakenya wala nchi nyingine kuingia Tanzania !

Nilifurahishwa sana na msimamo wa Rais wa kutokubali kuingia mkenge wa kufunga mipaka na kuwabagua Raia wa nchi zingine kwa kigezo cha Corona na kulipiza kisasi!

Kauli ya Martin Shigella mkuu wa mkoa wa Tanga kwakweli imeichafua hotuba ya Rais na imeenda kinyume na kauli ya Rais ambayo ilikataza kufungiana na kubaguana!

Martin Shigela amezalisha matatizo yasiyo na msingi kabisa alitakiwa kuyatafakari kabisa!

Matatizo haya yanapaswa kuwatatuliwa bila kukurupika!

Kimsingi naona Martin Shigela amekosea sana alipaswa kutulia kwanza!
Wacha kiherehere wewe! Unashoboka tu ka jina lako.
 
Tatatizo ni kuongoza kwa matamko bila vikao shirikishi 'lack of collective leadership'
 
Wakenya wapumbavu saana ngebe zote mbwembwe zote sisi tumewapa action moja tuu wanalia lia.

Nyau saana.

Wametunyanyasa vyakutosha.

komesha korona
 
Simkubali mtoa mada, personally, lakini nikiwa ni mfuatiliaji wa mambo, ntalazimika kukubali nilicho kisoma ‘between the lines’ ya thread yake! Kwenye hii game, kuna move RC kachukua, kuelekea ‘kibla’, mbuzi wa kafara amepatikana!! Sisi na Wakenya tutapatana, maisha yataendelea, hata kama hatupendani!!
 
Kumbuka huyo ni mwenyekiti wa vyombo vya ulinzi na usalama kimkoa na pia ndio mwakilishi wa rais sehemu uhusika lazima atakuwa ameona kuna hujuma dhidi yetu.
 
Namuunga mkono RC Martin Shigela kada mzoefu wa CCM.

Kwa Yale yanayofanywa na Kenya kuhusu madereva malori wanaotoka Tanzania ni sawa kabisa na half alichokiamua RC.

Lazima tiujikinge na Corona.

#Kanyaga twende baba tumechelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom