RC Tabora aagiza kuwe na benki za matofali

Waafrika sio kuwa tumerogwa hapana bali akili nzito sana kuwazua kitu na hata kujifunza baada ya miaka na miaka

Kabla ya uhuru population zetu zilikuwa ndogo sana lakini wazungu walikuja wakajenga kila kitu kikubwa mara kumi au zaidi ya idadi ya watu kwa wakati huo

Kwa mfano Hospitali, Shule, Train station na hata Masoko enzi hizo zote zilijengwa kubwa kiasi mpaka leo idadi kubwa sana imeongezeka lakini bado watu wanatosha

Sasa kwa kujua kabisa kuwa kila mwaka na miaka mingi ijayo ambapo hata sisi tutakuwa tumekufa lakini viongozi wanashindwa kujenga madarasa mengi wakijua fika hayo madarasa yatahitajika kwa vyovyote vile

Kwa kweli hata ya zamani hawayaoni wakitukanwa na Msukuma wanakasirika
 
Back
Top Bottom