RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.

Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?

Taifa kwa sasa linaongozwa na vihiyo watupu! Anzia magogoni hadi kwa kina Daudi Albert Bashite! Tumeruhusu AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA! Shame on you CCM government.
 
Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
Badala ya kuomba radhi anazidi kumkejeli.
 
Hata mie sikuona sababu ya kuendelea kumkejeli tena wakati jambo lilishapita na mbaya zaidi alikua akiongea kwa jazba utafkiri jambo limetikea juzi
RC huyo inaonekana kweli linamtafuna. But, angetumia hekima kukaa kimya!
 
Wakuu wa wilaya wanafanya kazi ya kumfurahisha mkuu wao wa kaya na siyo kulisaidia taifa kutoka mahali lilipo, na kama tutakwenda kwa mwendo huu hatutaweza kufika pale tunapotaka kwenda
 
Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
Ondoa shaka kaz kama utabibu huwa zina viapo vya kutombagua mteja yoyote kwa tofauti zozote zile
 
Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.

Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Hivi hawa wanaowekwa ndani kila siku ni watu wanamna gani? Mtu umekuwa daktari labda kwa miaka 10, kina kuja kizee eti mkuu wa mkoa anakuweka ndani kirahisi tu, na ukitoka unanywea kimyaaaaaaaaaa?

Duuuuu hao jamaa wanamoyo sana.
 
Hivi hakuna chama cha madaktari ni vema sasa wakawa na sehemu yao pakusemea pale wanapooonewa
 
Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
Huyu mama anasifika kwa fitna
 
Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.

Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Hawa makada bana karibu wote ni Bashite Bashite,Zero gainners
 
Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
Amchome sindano ya sumu afu amwambie nshapata akili.
 
Back
Top Bottom