RC Shigella: Hakuna mahindi yaliyozuiwa kuingia Kenya kupitia mpaka wa Horohoro, Jana na leo tumevusha tani 570

Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigella amesema habari zilixoenea mitandaoni kwamba Kenya imezuia mahindi kutoka Tanzania hazina ukweli wowote.

Shigella ambaye amefanya ziara ya kushtukiza mpakakani horohoro ameelezwa na afisa forodha wa hapo kuwa tangu tarehe 5 march hadi leo zaidi ya tani 570 za mahindi zimevushwa kuingia Kenya bila usumbufu wowote.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
maize-pic1.jpg

Inaelekea Tuna mipaka mingi inayojitegemea.
Huko Namanga ndo Kenya iliko.
 
Hivi naye ni Kanda ya ngosha?
Huenda maana kiakili kwa hili ni kama Bashite, ropoka.
Kawaza kiki na achukue maujiko kumbe anawaingiza watu mkenge, wakenya wakiliona na kutufungia na huko, huku wafanyabiashara watakula hasara kama watakimbiza malori yakavukie border ya Tanga.

Kama lengo lao ni kupiga marufuku mahindi katika Tz.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigella amesema habari zilixoenea mitandaoni kwamba Kenya imezuia mahindi kutoka Tanzania hazina ukweli wowote.

Shigella ambaye amefanya ziara ya kushtukiza mpakakani horohoro ameelezwa na afisa forodha wa hapo kuwa tangu tarehe 5 march hadi leo zaidi ya tani 570 za mahindi zimevushwa kuingia Kenya bila usumbufu wowote.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
RC mkoa wa Tanga wasiliana na Naibu waziri wa Kilimo Mh Bashe.
 
Tunataka uhusiano mzuri wa kindugu na Jamhuri ya Kenya
Tutapoteza muda - hawa watu hawabebeki, ujuaji mwingi na majivuno hilo ndilo tatizo lao kuu - wanachukulia Watanzania kama mazoba vile!!

Wajati fulani Mwl. Nyerere aliwahi kusema kwamba ukitaka kuwapa findisho Wakenya funga mipaka ndio watajuwa umuhimu wa Tanzania kwa ustawi wa Taifa lao, na kweli Tanzania ilipo funga mipaka, utawala wa Kenya went down on her knees begging Tanzania yahishe - tukitaka kukomesha Kenyan inept arrogance basi Serikali yetu irudie mbinu alizo tumia Mwl. J.K. Nyerere kuwapa fundisho la mwaka - Wakenya wakumbuke kwamba wao ndio wanatu hitaji zaidi kuliko sisi.
 
Hivi kwa haya matamko yenu ya Waziri na huyo Rc bado unahoji kwanini mnachukuliwa mazoba? Wajua swali lako linaonyesha kuwa wew uko hivyo pia?
 
Serikali ya ccm ni kama imechanganyikiwa, waziri amasema hili rc anakuja na lake..

Huku rais anasema korona hakuna ma waziri amasema lake..

Yani serikali imechanganyikiwa yote!!
Hiyi ni mipaka miwili tofauti ujue..!! Holoholo iko Tanga huko ndo wako free wanafavusha mazao kama kawaida..!! Lakini tatizo lipo Namanga ndo kuna shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom