RC Shigela: Marufuku Mtanzania kupimwa Corona nchini Kenya kama ukishapimwa Tanzania. Itawaletea matatizo ya ubongo

Sijajua anapigaje marufuku jambo linalofanyika nje ya mipaka ya nchi. Au awashauri madereva wakatae kupimwa! Tusilazimishe wengine wawe na matendo kama yetu kwenye swala la corona. Kama hatuna corona tena, woga wa kuthibitisha hilo unatoka wapi??

Kukataa kupimwa maana yake mwisho wa safari umefikia hapo!

Atakuwa anafikiria ana mamlaka hadi huko.

Acha tusubiri sasa maana ndiyo kesha maliza kutoa amri.
 
Namna njema ya kutotaka uhuni ni kufunga mpaka tu.

Kwa nini hilo ni gumu?
Hilo ndio lilikua na bado ndio chaguo la Tanzania, hukumbuki Uhuru Kenyatta aliomba maridhiano?. Sasa hivi tumesimamisha shughuli zote mpakani, bado wakenya wanaomba kuingia Tanzania.
 
huyu RC anajimwambafai tu, sasa anapiga marufuku madereva wa tz kupimwa korona huko Kenya kwani yeye ataambatana nao?? au huo u RC wake unavuka mipaka?!.
 
Hilo ndio lilikua na bado ndio chaguo la Tanzania, hukumbuki Uhuru Kenyatta aliomba maridhiano?. Sasa hivi tumesimamisha shughuli zote mpakani, bado wakenya wanaomba kuingia Tanzania
Hakuomba maridhiano kwa muktadha kwamba amekosea,,aluona hostility iko juu,akamtuma balozi wake kushusha presha na kutukumbusha wakenya ni wanatuona sisi ni ndugu na kwamba adui ni corona,,ndiposa ikaamuliwa wakae wakubwa waongee namna ya kukabiliana na tatizo la corona katika mambo ya usafiri mpakani.

Mtu anapoongea kidiplomasia haina maana eti ameomba msamaha
 
Mbona watu mnapotosha! Kasema mwenye kampuni awe na madereva Kenya na tz, Ila wasivuke mpaka, ambae Hana afaulishe.
Hii ni njia ya kuzuia mtanzania kupimwa Kenya.

Kiusalama ni kua waliopewa mapesa na ma beberu ili kuonyesha kua tz ina Corona wafie mbali na nia Yao ovu.

Ni njia Bora ya kuwaumbua mabeberu bila kuathiri uchumi wetu.

Great thinkers eleweni. Achana na Alina low iq na low emotional intelligence.

Mawazo binafsi.
 
Basi utakuta hao madereva wanashangilia kama mazuzu huku bidhaa zao zikiwa zimeozea kwenye malori, hii sio njia sahahi kutatua hili tatizo wanaoumia zaidi ni hao hao madereva na wenye mizigo yao.
 
Kweli madereva wetu wasipimwe pimwe kila wakati ili kuwafurahi mabwana wa mabeberu. Nyang'au hawaeleweki.
 
Nimetumia neno "maridhiano" sio "msamaha". Katika hayo maridhiano ndio tulikubaliana kwamba kila dereva atapimwa kwao, sio atapimwa nchi Jirani, hilo ndilo analokazia Martin Shigela, sasa hili la wakenya kutaka kuwapima tena Madereva wa Tanzania wakifika huko kwao limetoka wapi?
 
Basi utakuta hao madereva wanashangilia kama mazuzu huku bidhaa zao zikiwa zimeozea kwenye malori, hii sio njia sahahi kutatua hili tatizo wanaoumia zaidi ni hao hao Madereva na wenye mizigo yao
Siku zote lazima utangulize kutunza heshima na UTU wako kwanza kuliko Mali.

Tulikubaliana kila mtu apimwe kwao, wakenya wamevunja hayo makubaliani kihuni na kijeuri, unataka Madereva wetu wakubali kunyanyasika eti kwa kuogopa hasara ya Mali?
 
Nimetumia neno "maridhiano" sio "msamaha". Katika hayo maridhiano ndio tulikubaliana kwamba kila dereva atapimwa kwao, sio atapimwa nchi Jirani, hilo ndilo analokazia Martin Shigela, sasa hili la wakenya kutaka kuwapima tena Madereva wa Tanzania wakifika huko kwao limetoka wapi?

Hujui lilipotokea mkuu? Yasemekana kuna mtu ka abuse nia njema ya maridhiano. Badala kupima ili kutoa vyeti, vyeti vimetolewa ndivyo sivyo.

Ndiyo maana hapa tulipo sasa tunasubiri maelekezo ya Shigela ambayo wewe umeyakazia.
 
Huyu dingi kilaza, kufuli ameweka machizi kusimamia sababu yanafata kila anachosema.

Korona haipimwi kwa kutoa damu, hiyo data kua unachomwa sindano kutoa damu sijui kaitoa wapi, wanaingiza kit ya kupima kwenye pua wanaenda wanapima.

Alafu anavyojifanya kuzuia watu wanaoenda Kenya kupima anawaamulia wakenya? hahaha hajui Kenya inaamua vyovyote inavyotaka as long as upo ndani ya mipaka yao?

Kufuli ameweka vilaza wengi sana kila kona, hakujawahi tokea kipindi chenye viongozi wengi vilaza kama awamu ya tano, wote vichwa vibovu, nchi inakufa wao wanasema inapanda kwa sababu tu jiwe limesema, hahaha Jiwe linaweza amka kesho likasema tuna uchumi mkubwa kuliko Marekani alafu wengine wote wakaenda kutangaza kila kona.

Nchi ya washenzi.
 
Hujui lilipotokea mkuu? Yasemekana kuna mtu ka abuse nia njema ya maridhiano. Badala kupima ili kutoa vyeti, vyeti vimetolewa ndivyo sivyo.

Ndiyo maana hapa tulipo sasa tunasubiri maelekezo ya Shigela ambayo wewe umeyakazia.
Walipaswa hilo kama ni kweli kuliweka wazi kwa kupitia vikao vilivyotumika, sio kujiamulia kinyemela. Sasa iweje huko kwao ukitoa 2000 wanakuruhusu uendelee na safari kwa kutumia hivyo hivyo vyeti wanavyovikataa?.
 
Huyu dingi kilaza, kufuli ameweka machizi kusimamia sababu yanafata kila anachosema.
Korona haipimwi kwa kutoa damu, hiyo data kua unachomwa sindano kutoa damu sijui kaitoa wapi, wanaingiza kit ya kupima kwenye pua wanaenda wanapima.
Alafu anavyojifanya kuzuia watu wanaoenda Kenya kupima anawaamulia wakenya? hahaha hajui Kenya inaamua vyovyote inavyotaka as long as upo ndani ya mipaka yao?
Kufuli ameweka vilaza wengi sana kila kona, hakujawahi tokea kipindi chenye viongozi wengi vilaza kama awamu ya tano, wote vichwa vibovu, nchi inakufa wao wanasema inapanda kwa sababu tu jiwe limesema, hahaha Jiwe linaweza amka kesho likasema tuna uchumi mkubwa kuliko Marekani alafu wengine wote wakaenda kutangaza kila kona. Nchi ya washenzi.
Kwahiyo Kenya wanajiamulia vile wanavyotaka, kwahiyo wanapodai rushwa ya 2000 ili kuruhusu Madereva waliowapima na kugundulika wameambukizwa Corona, hiyo kwako ni sawa?. Hivi wewe upo vizuri kichwani kweli?, kwahiyo kwasababu umeona watu wakichukuliwa "swab" puani unadhani damu haitumiki kupima Corona?. Wacha kuzungumza mambo usiyokua na elimu nayo, unajiaibisha.
 
Tanzanians thought we would be dead buried due to hunger by now, Ethiopia and Uganda is taking those opportunities
Jidanganye!! Hao Uganda na Ethiopia wanalia njaa na hususan Uganda chakula kinatoka Tanzania na utaratibu wameukubali... wakenyaacheni kiburi mtakula nyasi na maraprapu.
 
Siku zote lazima utangulize kutunza heshima na UTU wako kwanza kuliko Mali. Tulikubaliana kila mtu apimwe kwao, wakenya wamevunja hayo makubaliani kihuni na kijeuri, unataka Madereva wetu wakubali kunyanyasika eti kwa kuogopa hasara ya Mali?
Malalamiko ya watz yanekuwa mengi kuliko ya wakenya, hao madereva walipomuona Shigella walidhani anaenda kutatua tatizo kumbe anazidisha ukubwa wa tatizo.
 
Back
Top Bottom