Asiye na Chama
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 1,269
- 652
Ukienda nchi ya watu unafuata sheria zao!.Amefanya uamuzi sahihi
Ukienda nchi ya watu unafuata sheria zao!.Amefanya uamuzi sahihi
Kwa hiyo mamewapa Kenya amri au? Kenya wana sheria zao na kama unataka kwenda huko lazima uzifuate, kama hutaki kaa kwako!Uamuzi mzuri lakin lazima akutane na wa upande wa pili sasa
Kupimwa Kenya ni lazima...
maana serekali ya Tanzania imesema haina wataalau madhubuti wa kupima corona katika ile taarifa ya tume ya uchunguzi ya maabara ya taifa.
Sasa kama mmetangazia ulimwengu kuwa hamna wataalamu wa kupima kosa ni la nani? Nyie wenyewe mmeshawaaminisha kuwa majibu ya huku hayaaminiki,,,mnataka waamini hivyohivyo?.
Nataka msimame mseme tunao wataalamu na mtuambie walipata wapi trainings,Zaidi ya hapo muache kula matapishi yenu kwa mataarifa ya kupika.
Taarifa nyingine mnawaaminisha watu hakuna tatizo ,hao mnaowaita wapiga kura ,wameacha kuvaaa barakoa na kunawa,panda daladala ujionee.
Lakini ninafurahi kuna watu wengine akili zinawarudia maana wakiingia hospitali kama huna barakoa unafukuzwa kama paka,maana hosipitali sio kituo cha kupiga kura. kama ninyi ni wanaume kweli pigeni marufuku uvaaji wa barakoa mahosipitalini.
Endeleeni kuwadanganya wapigakura maana wao walizaliwa kupiga kura tu hawana hata uwezo mdogo tu wa kujiamulia mambo yao binafsi ya msingi
Uamuzi mzuri lakin lazima akutane na wa upande wa pili sasa
Tulishakaa tukakubaliana kwamba kila nchi itapima watu wao, Kenya imekiuka hayo makubaliano na kuanza kuwapima madereva wa Tanzania, hakutokua na makubaliano wala mazungumzo mapya, na hakuna dereva wa Tanzania atakayepimwa Kenya.Upande wa pili wao wanasemaje, sidhani kama kauli yake ni kauli ya kenya,
Yanu ni kama anaipangia Kenya nini cha kufanya dhidi ya madereva wanaoingia nchini mwao kutoka Tanzania.
Izo ni kauli za mihemko, kama Kenya wataendelea kushikilia msimamo wao lazima wapimwe kauli yake itakua na maana gani.
suala lamsingi lilikua yeye na viongozi wa Kenya wakae mezani waibuke na msimamo unaofanana lakini sio yeye kuipangia nchi nyingine cha kufanya.
hili gonjwa LA CIVID-19 ni vita kwaiyo kila taifa lina mbinu zake za kupambana kuhakikisha wanaibuka na ushindi.
Ni kama sisi tulivyoamua kumuachia mungu atupiganie Vita yetu contraly wao wameamua wapambane wenyewe.
umemwelewa vizuri, watanzania hawapimwi mara mbili, kama sheria zenu haziruhusu; faulisha mizigo/abiria au kuwa na madereva kwa upande wa Tanzania na Kenya.Anamaanisha nini?
Suala la madereva wa Tz kupimwa Covid wakiingia Kenya ni suala la taratibu na sheria za Kenya, RC wa Tz hawezi kuwapangia Wakenya cha kufanya. RC wa Tz awapangie watu wake tena huko huko kwenye mkoa wake tu.
unadhani kitendo cha madereva wetu kukataa kupimwa na ilhali kenya bado wameshilia msimamo "NO TESTING NO ENTRY" matokeo yake yatakua nini.Tulishakaa tukakubaliana kwamba kila nchi itapima watu wao, Kenya imekiuka hayo makubaliano na kuanza kuwapima madereva wa Tanzania, hakutokua na makubaliano wala mazungumzo mapya, na hakuna dereva wa Tanzania atakayepimwa Kenya.
Sasa Kenya ni wahuni.mbona walikubali kila nchi ipime watu wake?Anamaanisha nini?
Suala la madereva wa Tz kupimwa Covid wakiingia Kenya ni suala la taratibu na sheria za Kenya, RC wa Tz hawezi kuwapangia Wakenya cha kufanya. RC wa Tz awapangie watu wake tena huko huko kwenye mkoa wake tu.
Matokeo yatakua kama yalivyo sasa hivi, NO ENTRY to BOTH SIDES, hadi pale Kenya itakapokubali kutekeleza makubaliano tuliyofikia.unadhani kitendo cha madereva wetu kukataa kupimwa na ilhali kenya bado wameshilia msimamo "NO TESTING NO ENTRY" matokeo yake yatakua nini.
Only Puppets Leadership will compile with Mabeberu's Oder!Tanzanians thought we would be dead buried due to hunger by now, Ethiopia and Uganda is taking those opportunities
Mkuu wa Tanga Martin Shigela amekutana na kufanya mazungumzo na madereva wa Tanzania katika mpaka wa Tanzania na Kenya Horohoro kwa lengo la kupata suluhisho la mgogoro kwa madereva hao kuzuiliwa kuingia Nchini humo.
Amepiga marufuku madereva wa Tanzania kupimwa virusi vya corona nchini Kenya, baada ya kuwa wamepimwa hapa nchini, kitendo kinachoweza kuwasababishia matatizo ya upungufu wa akili na kuathiri ubongo kwa kuchokonolewa kila baada ya siku 14.
Shigela amewataka Wamiliki wa magari kuajiri madereva wawili ili waweze kupokezana kwa lengo la kupunguza changamoto za usumbufu wa upimaji wa virusi vya corona.
Kilichokushinda kuangalia hiyo video ni nini!!!unachangia kwa mihemko ya kisiasa tu!!!Huku ni kukosa akili. Unawapangia Kenya nini cha kufanya kwa kusema marufuku kuwapima watu wetu? Unaifanya Kenya kuwa sehemu ya mkoa wa Tanga?
Kama Tanzania hakuna Corona basi misipime madereva, waacheni wakapimwe Kenya.
Ajabu mnakataa vipimo vya Kenya, lakini mnataka kuwalazimisha wakubali vya Tanzania, halafu mnajiita wanadiplomasia. Utumbo wa kuku kabisa.
Tanzania si hakuna Corona? Kenya Corona bado ipo na sheria yao ni kupima kila mtu anayeingia kwao. Wanalinda raia wao. Usiwapangie. Huu ni utaratibu wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua una hasira na jinsi serikali ya Jumbilii inaendesha nchi yako.Na bado hadi hilo jiwe kubwa lijinga lipatwe na Soni,hususan kwa la janga la covid.