RC Queen Sendiga ampa wiki mbili DED wa Mufindi kupeleka maji vyoo vya shule ya Msingi Ifwagi

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,545
1625817717328.png

Picha: Mkuu wa Mkoa wa Iringa Queen Sendiga

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga amempa wiki mbili DED Mufindi, Netho Ndilito kupeleka maji katika vyoo vipya vya Shule ya Msingi Ifwagi. Pia ameagiza kufungwa kwa vyoo chakavu katika shule hiyo na badala yake wanafunzi 400 watumie vipya.

Hatua hii imekuja baada ya Nipashe kuripoti changamoto ya upungufu wa vyoo katika shule hiyo hali iliyopelekea wanafunzi wengine kujisaidia vichakani.

PIA SOMA:
- Iringa: Wanafunzi 400 wa Shule ya Msingi hatarini kuhara kutokana na changamoto ya choo kukosa maji
 
Mkuu wa mkoa hao unaowapa maagizo ni wawakilishi wako huko wilayani so kama hawatendi mpaka media au mtishane basi ni tatizo kwenye uongozi wa nchi hii.

👉🏾That's why katiba mpya inahitajika kwa sasa!.
 
Back
Top Bottom