RC Paul Makonda apokea mamilioni toka Serikalini

Tunamshukuru Yeye na Rais kwa jambo hilo


Ila Sie Simba Lia lia tunahoji tangu RC.wetu Kiboko ya Mabeberu kawa Mshauri Mkuu wa Timu yetu tumeanza kupata ushindi wa magoli ya Offisde (Jecha Style) hii imekaaje kaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka acha kabisa, marudio ya magoli yanatufanya tuwe wanyonge mbele ya jamaa wa kandambili.

Lakini na wao enzi za Manji walikuwa wanabebwa mno na waamuzi enzi zile Tambwe alipokuwa akicheza netball.
 
Mkuu kodi zenu wewe na nani, na wewe ni nani hadi ulalamikie kodi,kwa siku kodi yako kwa serikali ni shilingi ngapi,je unalipa direct/ inderect tax,na wewe ni nani humu jf hadi useme kodi zetu na kwanini usiseme kodi yako? Nb maendeleo hayana chama.
Anajaribu kumsafisha Makonda kupitia kodi zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom