RC Njombe aagiza kuchukuliwa hatua kwa mtumishi wa idara ya fedha kwa ubadhirifu wa milioni 37

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
717
1,000
hqdefault.jpg

Mkuu wa mkoa wa Njombea Christopher Olesendeka ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya wilaya Wangingo’mbe ikiwemo ofisi ya mkurugenzi kuhakikisha inamchukulia hatua za kisheria mtumishi wa idara ya fedha Edward Kigoda kufuatia ubadhirifu wa fedha zaidi ya shilingi milioni 37 ambazo alikiri kuzichukua kinyemela na ameanza kurejesha.

Akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya ujenzi wa ofisi za utawala na nyumba za watumishi Wilayani humo mkuu wa mkoa amemtaka Kaimu meneja wa wakala wa majengo wa mkoa wa njombe TBA Baziri mwakilao kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa nyumba ya mkuu wa wilaya hiyo haraka ambayo ujenzi wake umeanza kuingia dosari.

Halmashauri ya wilaya ya wangingombe ilianzishwa mwaka 2012 imefanikiwa kukamilisha ujenzi wa ofisi za mkurugenzi kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 697 ingawa halmashauri hiyo ingali inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kukosekana kwa vyombo vya usafiri.

Chanzo: ITV
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,288
2,000

Kukaye.
 
Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,535
2,000
Kama kuna watu bado wanaiba mali ya umma nchi hii, basi wizi hauwezi kuisha!!!
 
Chunda

Member
Apr 7, 2016
47
95
WATUMISHI WA UMMA WANAIBA SANA, HUENDA KWA SASA ANAYEONGOZA NI MKUU WA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA. HAKUNA KINACHOPITA MBELE YA MACHO YAKE, LAZIMA KIONDOKE. UKISIKIA MAMBO YAKE YOTE UTASHIKA MDOMO NA KUSHANGAA, IMEKUWAJE YUKO OFISINI MPAKA SASA. AMESHACHUKUA KWA NJIA ZA UBADHIRIFU ZAIDI YA BILIONI 3.5, NA BADO ANAENDELEA, NCHI INALIWA HII, SI MCHEZO!
 
utemi

Senior Member
Mar 27, 2011
167
195

7640_10153996847952487_1296214619587581403_n.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom