Rc Mullongo anapotoka ofisini kushangaa ndege ikiruka

ngurdoto

Member
Aug 19, 2010
58
23
Gari la Mkuu wa Mkoa Arusha likiwa limembeba huku likitimua vumbi pembeni ya uwanja wa ndege wa Arusha, RC Mulongo alikuwa akiwahi uwanjani ili kujionea ndege ya Ethiopia boeing rc anapwahi ndege.jpg 767 ikiruka baada ya kufanikiwa kunasuliwa kwenye udongo ilipotua kwa dharura Jumatano, pembeni ni uziwa wa wavu wa uwanja wa ndege wa Arusha.
 
Unafikiri huko ofisini ana kazi gani na anafanya nini hasa? Mwenye kazi ni RAS.
 
Alimrudia yule Rubani aliyemkatalia kushusha abiria mpaka atakapofika Immigration Officer ama Senior Safety Officer

ana hasira,rubani hakutambua no proffessionalism in tz mwanasiasa kauli yake inavuka mipaka
 
Tukio la ile ndege, limenipa mwanga kuwa watu wengi wa Arusha ni washamba sana, Kwa siku mbili ile ndege ilipokuwa pale Arusha Airport, watu walikuwa wamejaa sana Pembezoni mwa uwanja wakiishangaa boeing 737, Mpaka mama ntilie walishafungua vijiwe pembezoni mwa Arusha Airport, Siku ya Ndege kupaa ndio ilkuwa "aibu" Arusha Airport ilijaa watu wengi sana, Na wakati ndege ikipaa watu walianza kushangilia huku wengine wakipongezana kwa ishara ya kukumbatiana, ikawa gumzo mjini, ndege imepaa, kwenye mabaa, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kila kwenye mkusanyiko wa watu ni habari za kupaa kwa ndege tu!
 
Wengi wa Vijana walizani wakienda watapata cha kukwapua vifodi vilipata route ya kisongo kikuku
 
Tukio la ile ndege, limenipa mwanga kuwa watu wengi wa Arusha ni washamba sana, Kwa siku mbili ile ndege ilipokuwa pale Arusha Airport, watu walikuwa wamejaa sana Pembezoni mwa uwanja wakiishangaa boeing 737, Mpaka mama ntilie walishafungua vijiwe pembezoni mwa Arusha Airport, Siku ya Ndege kupaa ndio ilkuwa "aibu" Arusha Airport ilijaa watu wengi sana, Na wakati ndege ikipaa watu walianza kushangilia huku wengine wakipongezana kwa ishara ya kukumbatiana, ikawa gumzo mjini, ndege imepaa, kwenye mabaa, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kila kwenye mkusanyiko wa watu ni habari za kupaa kwa ndege tu!

Bila shaka na wewe ni mmoja wa hao washamba wa Arusha. Na inawezekana ulikuwa ni mchangiaji mzuri katika hiyo mada!
 
Tukio la ile ndege, limenipa mwanga kuwa watu wengi wa Arusha ni washamba sana, Kwa siku mbili ile ndege ilipokuwa pale Arusha Airport, watu walikuwa wamejaa sana Pembezoni mwa uwanja wakiishangaa boeing 737, Mpaka mama ntilie walishafungua vijiwe pembezoni mwa Arusha Airport, Siku ya Ndege kupaa ndio ilkuwa "aibu" Arusha Airport ilijaa watu wengi sana, Na wakati ndege ikipaa watu walianza kushangilia huku wengine wakipongezana kwa ishara ya kukumbatiana, ikawa gumzo mjini, ndege imepaa, kwenye mabaa, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kila kwenye mkusanyiko wa watu ni habari za kupaa kwa ndege tu!

Lazima nawe ni mmoja wa hao washamba manake yote haya umeyajuaje?
 
Tukio la ile ndege, limenipa mwanga kuwa watu wengi wa Arusha ni washamba sana, Kwa siku mbili ile ndege ilipokuwa pale Arusha Airport, watu walikuwa wamejaa sana Pembezoni mwa uwanja wakiishangaa boeing 737, Mpaka mama ntilie walishafungua vijiwe pembezoni mwa Arusha Airport, Siku ya Ndege kupaa ndio ilkuwa "aibu" Arusha Airport ilijaa watu wengi sana, Na wakati ndege ikipaa watu walianza kushangilia huku wengine wakipongezana kwa ishara ya kukumbatiana, ikawa gumzo mjini, ndege imepaa, kwenye mabaa, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kila kwenye mkusanyiko wa watu ni habari za kupaa kwa ndege tu!

Ook mtu wa Daslam
 
wakiume alafu ukiwa mmbea sio ishu.
 
Ha ha haaa Arushaone hii inakuhusu .Yani hata Mkuu mwenye mkoa alitimua vumbi hivo kuiwahi ndege?! Huku Dar safari hazituishi kila siku nje ya nchi tunatalii
 
Last edited by a moderator:
Tukio la ile ndege, limenipa mwanga kuwa watu wengi wa Arusha ni washamba sana, Kwa siku mbili ile ndege ilipokuwa pale Arusha Airport, watu walikuwa wamejaa sana Pembezoni mwa uwanja wakiishangaa boeing 737, Mpaka mama ntilie walishafungua vijiwe pembezoni mwa Arusha Airport, Siku ya Ndege kupaa ndio ilkuwa "aibu" Arusha Airport ilijaa watu wengi sana, Na wakati ndege ikipaa watu walianza kushangilia huku wengine wakipongezana kwa ishara ya kukumbatiana, ikawa gumzo mjini, ndege imepaa, kwenye mabaa, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kila kwenye mkusanyiko wa watu ni habari za kupaa kwa ndege tu!

Wewe ulienda kufanya nini hapo kama nawe si wale wale unaowashangaa?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Tukio la ile ndege, limenipa mwanga kuwa watu wengi wa Arusha ni washamba sana, Kwa siku mbili ile ndege ilipokuwa pale Arusha Airport, watu walikuwa wamejaa sana Pembezoni mwa uwanja wakiishangaa boeing 737, Mpaka mama ntilie walishafungua vijiwe pembezoni mwa Arusha Airport, Siku ya Ndege kupaa ndio ilkuwa "aibu" Arusha Airport ilijaa watu wengi sana, Na wakati ndege ikipaa watu walianza kushangilia huku wengine wakipongezana kwa ishara ya kukumbatiana, ikawa gumzo mjini, ndege imepaa, kwenye mabaa, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kila kwenye mkusanyiko wa watu ni habari za kupaa kwa ndege tu!

Siyo kwamba ni washamba, tafadjhali naomba uache kukufuru Mungu, maskini watu hawana kazi inabidi uwaonee huruma! Uliwaona siku ile ya Obama wlaivyokuwa wamejipanga barabarani? Si kweli kwamba walitaka kumuona Obama, majority hawana kazi. Maskini waTanzania wangu! Yaani huwa naona huruma sana wakati mwingine, really from my heart!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom