RC Mtwara: Waganga wa jadi wanaoweza kutibu mfumo wa upumuaji wajitokeze wasajiliwe

Yeye alivyopata changamoto za kupumua alitumia hizo dawa anazoitisha waganga wa kienyeji wazipeleke?

Mbona hakumuambia msaidizi wake Liwowa azitumie na badala yake alifia Hospitali ya Ndanda?

Kikubwa amshukuru MUNGU kwa kumponya na maradhi ya kupumua, na ingekuwa anaamini sana hayo majani ya kienyeji na mitishamba asingeomba rufaa apelekwe Muhimbili ila angekaa pale kwake na hao waganga.

Hivi viongozi wetu mna nini nyie? Wakati ninyi mkipona Hospitali kwa kutumia tiba za mnaowaita mabeberu, sisi wananchi mnataka tufe kwa waganga wa kienyeji?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hii awamu ni afadhali hata ya Ibilisi
 
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa, amefungua milango kwa waganga na wananchi ambao wana uwezo wa kutibu maradhi yote ya mfumo wa upumuaji kufika ofisini kwake kujitambulisha ili waweze kusajiliwa kutoa huduma za matibabu kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na maradhi hayo.

My take: Kama Taifa tumepigwa kuruhusu malimbukeni kuongoza nchi yetu.

Vyanzo: ITV, Clouds Media Twitter page

View attachment 1709350

Tunaingia kwenye record za Guinessbook kimwamba!
 
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa, amefungua milango kwa waganga na wananchi ambao wana uwezo wa kutibu maradhi yote ya mfumo wa upumuaji kufika ofisini kwake kujitambulisha ili waweze kusajiliwa kutoa huduma za matibabu kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na maradhi hayo.

My take: Kama Taifa tumepigwa kuruhusu malimbukeni kuongoza nchi yetu.

Vyanzo: ITV, Clouds Media Twitter page

View attachment 1709350
Halafu Rais anashangaa kuwa watanzania tumekosea wapi?
 
Back
Top Bottom