Lyetu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 1,114
- 2,946
Kila la kheri mkuuKwa hiyo wale wagonjwa waliojazana mahospitalini huku puani wana mipira ya gesi nao pia wanaigiza baada ya kuchukia huo "ubweche" wa mabeberu?!!
#TujitokezeniTukachanjwe
Kila la kheri mkuuKwa hiyo wale wagonjwa waliojazana mahospitalini huku puani wana mipira ya gesi nao pia wanaigiza baada ya kuchukia huo "ubweche" wa mabeberu?!!
#TujitokezeniTukachanjwe
Kaka jifanyie research mwenyewe uone hali halisi.Wewe kaa tu hata Moro road nje ya mji kidogo hata lisaa limoja tu kwenye mgahawa pembeni ya Moro road uone purukushani za costa zenye miili na ambulance zenye wagonjwa halafu kwa akili yako timamu kama ni mzoefu wa kuishi nchini mwetu ujiulize kama kweli hii ni "business as usual" tuliyozowea au kuna jambo lisilo ka kawaida.Majibu utayapata tu maana jamii ndio ile ile ya jana na juzi.Maigizo yanaendelea.
Tumeingia kwenye kumi na nane za mabeberu!
Chezea mpunga wewe!!
Kabla ya corona watu walikuwa hawafi na kuugua?Kaka jifanyie research mwenyewe uone hali halisi.Wewe kaa tu hata Moro road nje ya mji kidogo hata lisaa limoja tu kwenye mgahawa pembeni ya Moro road uone purukushani za costa zenye miili na ambulance zenye wagonjwa halafu kwa akili yako timamu kama ni mzoefu wa kuishi nchini mwetu ujiulize kama kweli hii ni "business as usual" tuliyozowea au kuna jambo lisilo ka kawaida.Majibu utayapata tu maana jamii ndio ile ile ya jana na juzi.
Walikuwa wanakufa na ambulance zinapita.Tunazungumzia kiwango mzee.Mbona mbishi hivi wewe lakini?!lione bichwa lile!Kabla ya corona watu walikuwa hawafi na kuugua?
Kulikuwa hakuna ambulance zinazopita barabarani hapo kabla?
Yaani nyinyi, mwaka huu mtazaa na mabeberu!
Hakuna cha bure!
Kiwango gani hicho?Walikuwa wanakufa na ambulance zinapita.Tunazungumzia kiwango mzee.Mbona mbishi hivi wewe lakini?!lione bichwa lile!
🤣🤣Mkuu wangu nilitegemea unijibu niliyokuuliza....umeishia kusema hakuna CORONA huko mitaani....kwani ni wewe pekee unayeishi mitaani ?!!!Hakuna corona wewee nyumbu. Hiyo corona iko kwenye mitandaoni ya kijamii tu na magazetini.
Huku mtaani hali ni shwari, hakuna hata sisimizi anayeugua mafua.
Mapesa ya wazungu yatawatokea puani this time round, maana mabeberu hayaelewi yanachotaka ni feedback ya udungaji wa machanjo halafu wananchi wamegoma yaani!
Sijui mtaambia nini mabeberu nyie nyumbu. Lazima yawapakue vinyeo mwaka huu.
Mtaka; nyungu YATOSHA.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amewataka wakazi wa Dodoma kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kwa sababu hali si nzuri mkoani humo.
Ameyasema hayo leo Jumanne Agosti 3, 2021 wakati akizungumza na askari wa usalama wa barabarani na viongozi wa masoko wa mkoa wa Dodoma.
Amewataka askari hao, viongozi wa masoko na wafanyabiashara kuhakikisha wanachukua hatua za kujikinga katika maeneo yao kwa kuvaa barakoa na kunawa maji tiririka na sabuni au kutumia vitakasa mikono.
Pia amewataka askari wa usalama wa barabarani kuhakikisha watu wote wanakaa kwenye viti (level seat) kwenye daladala na bajaji na kwenye bodaboda kuhakikisha hawabebi abiria zaidi ya mmoja
Mwananchi
Hakika....Kaka jifanyie research mwenyewe uone hali halisi.Wewe kaa tu hata Moro road nje ya mji kidogo hata lisaa limoja tu kwenye mgahawa pembeni ya Moro road uone purukushani za costa zenye miili na ambulance zenye wagonjwa halafu kwa akili yako timamu kama ni mzoefu wa kuishi nchini mwetu ujiulize kama kweli hii ni "business as usual" tuliyozowea au kuna jambo lisilo ka kawaida.Majibu utayapata tu maana jamii ndio ile ile ya jana na juzi.
Mahospitali ya wapi hayo?Mkuu wangu nilitegemea unijibu niliyokuuliza....umeishia kusema hakuna CORONA huko mitaani....kwani ni wewe pekee unayeishi mitaani ?!!!
Corona ipo mkuu.....huko mahospitalini wagonjwa wako... wamejaa mkuu....
#TujitokezeniKuchanjwa
Hakuona mbali kokote zaidi ya kutaka kubishana na akina mbowe na akina zitto walioidaka mada ya corona kabla yake. Chanzo cha ule upotoshaji wake ni ubishi tu ili kuwabishia hao jamaa.Chuma aliona mbali sana kusema Taarifa rasmi za Corona zinatolewa na Waziri mkuu au Waziri wa Afya tu. Hii ya kila kiongozi anaropoka ropoka ndio yale yale ya kuleta hofu kwa wananchi. BTW Hizo pesa za Mabeberu mtazitapika
Moshi na Arusha....Mahospitali ya wapi hayo?
Yataje niende sasa hivi!Moshi na Arusha....
Kinachohuzunisha matamko ya mkuu wa Dodoma, hayana "UPAKO" na hivyo hayatendewi kazi kwa sababu ya mguu alioingia nao jiji la makao makuu ya Nchi !Mtaka anapenda sana show off, kila siku ni matamko tu
Paw mtu kama huyu mnamuacha wa nini? Kuna mambo ya kuleta mizaha sio maisha ya watu...Maigizo yanaendelea.
Tumeingia kwenye kumi na nane za mabeberu!
Chezea mpunga wewe!!
Hapa mabosi wetu hawana budi kupunguza wigo wa ela ya kipande....na bajaji na kwenye bodaboda kuhakikisha hawabebi abiria zaidi ya mmoja
Kufeni na mtakufa kweli, si mlikataa? Si mlisema chadema imetumwa na mabeberu? Msiwage Wapuuzi, msiwe mnaweka siasa kwenye kila kitu. Acheni mjifunze in a hardway#HABARI MKUU wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka, amewataka wakazi wa Mkoa huo kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kwa sababu hali iliyopo katika Mkoa huo si nzuri. /https://t.co/FCpqbS5j5U https://t.co/PV6wRszMe3