johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,048
- 164,351
Ni ktk miaka ya 90s aliwaita kina Jombi akawaambia wakome kufanya ujambazi mkoani kwake. Ujambazi ukaisha watuhumiwa wakaanza kufanya biashara halali na wengine wamo ktk siasa za kibunge hata sasa wakiwa ni wananchi safi kabisa.
Kwahiyo hii approach siyo mpya kutumika, ni sahihi na inaweza kuzaa matunda hata leo hii ktk mapambano dhidi ya uovu mbalimbali ilimradi tu isimamiwe vizuri na uwepo ushirikiano wa vyombo vyote ktk jamii.
Ahsanteni!