Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,644
- 218,092
Tumetahadharisha mara kadhaa kwamba Shetani hajawahi kuwa na rafiki , nadhani sasa mmeanza kuelewaNi mwaka sasa tangu marehemu Omela Wangwe auwawe kwa kupigwa na mwanajeshi ndani ya ofisi ya kata ya Kahama wilayani Ilemela...