Monchengladbach
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 703
- 514
Meno ya dhahabu acha ushamba wako wa nachingweaSasa ndio mpo juu, kama meno tu mnashindwa kuswaki yanakuwa kama mmeng'ata makimba..
Sent using Jamii Forums mobile app
Meno ya dhahabu acha ushamba wako wa nachingweaSasa ndio mpo juu, kama meno tu mnashindwa kuswaki yanakuwa kama mmeng'ata makimba..
Tupo makundi yoteKwenye ili bado alijaniingia akili mbona vija wanakimbilia dar kuja kuwa mafundi beskeli, shoeshine, wachoma mahindi, kuuza mkaa wakopo, kufanya kaz za bar, unajua dar wachaga ndiyo wanaongoza kufanya kaz za chini sana mfano kuuza maji na matoroli, naomba ufafanusi kidogo hapo nanyie mnasema ni wasomi kuliko watu wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wanakufa Sana mbona hawapungui? HahahaMfano dar wachaga wana ongoza kwa kufa sana au kwasababu vijana wengi wakichaga mnaendesha bodaboda ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezi jua kama wanapungua lazima uwe umefanya utafiti, kiukweli bodaboda zinawamaliza kweli au kwasababu ni walevi sanaKama wanakufa Sana mbona hawapungui? Hahaha
Sio tu bodaboda,Hakuna kazi yoyote utamkosa mchaga iwe professional au Ya kujiajiri,mwendesha bodaboda anaongiza héla nyingi mno,unakuta anazo 3 kakodishia kwa Siku anakusanya 60 elfu utajilinganisha nae?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni maskini wa uchumi na akili. Mtu mmoja siku nzima unabishana na watu 50. Na ubishani wako umekaa kiwivu kama unaimba taarabu.Niko vizuri kiuchumi. Najua ninavyopanga muda wangu. Hawa wanywa mbege wamezidi kujitekenya. Lazima tuwape wanachostahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nalo linakuumiza roho? Wewe umeolewa mitala? Huu ni wivu wa mke mwenzaWajinga kweli yanajenga nyumba alafu ayakai yanasubili kupelekwa yakiwa maiti ili azikwe chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Hawa vyasaka wanachekesha,nyumba tujenge sisi matumizi wapange waoHilo nalo linakuumiza roho? Wewe umeolewa mitala? Huu ni wivu wa mke mwenza
Wewe kila Siku si unawaona wamejaa télé na wanapiga hela,wengine maofisini nk?Uwezi jua kama wanapungua lazima uwe umefanya utafiti, kiukweli bodaboda zinawamaliza kweli au kwasababu ni walevi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni maskini wa uchumi na akili. Mtu mmoja siku nzima unabishana na watu 50. Na ubishani wako umekaa kiwivu kama unaimba taarabu.
Nakushauri acha wivu fanya kazi. Hawa watu wa migombani huwawezi hata kwa uchawi. Ni ushauri tu sio lazima uufuate...
Utakufa kwa kijiba cha roho
Yaani nije PM kupanga kukutembelea? Kwamba nimekosa la kufanya???Wewe jamaa pole sana. Hunijui sikujui, cha ajabu unasema mimi maskini. Sasa nakualika pm uje tupange na unitembelee uone ninavyoishi. Punguzeni sifa wanakilimanjaro, ni kweli mlitangulia kusoma lakini Tanzania hii kwa sasa watu wanasoma na wanajenga kuliko hata hao wachagga. Ninyi mmekariri bila kuzingatia kwamba mikoa mingine watu waliamua kujenga mijini badala ya kijijini kutokana na mazingira na utamaduni wa eneo husika.
Ndio maana nasema acheni kujikweza sana wakati wengi kimaisha mko hoi bin taaban.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah Nyie naona kama mnakufa wengi mpaka naona uruma, utasika familia ya ngowi iliyopo mbezi kibanda cha mkaa wanatangaza kifo cha baba yao kilichotokea kcmc mipango ya mazishi yanafanyika manzese mbokom bar na maziko yatafanyika kiliavunjo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili ndogo sasa wewe!!!unasahau kwamba ni utamaduni wa wana Kilimanjaro kutangaza matangazo ya vifo huku jamii nyingine hazina utamaduni huo..Unaweza kudhani kuwa wachaga ndo hufa kila siku no unakosea sana!ni kwasabab wana utamaduni wa kutangaza matangazo ya vifo...Daaah Nyie naona kama mnakufa wengi mpaka naona uruma, utasika familia ya ngowi iliyopo mbezi kibanda cha mkaa wanatangaza kifo cha baba yao kilichotokea kcmc mipango ya mazishi yanafanyika manzese mbokom bar na maziko yatafanyika kiliavunjo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uongo?
Sisi asili yetu sio AfrikaKwani wachaga mna nini mbona mnajiona kama special sana wakati malofa tu. Hii mijamaa sijui ni ya wapi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achen wivu nyie wakina gabachori
Hivi wachaga wote ni wezi na wana tamaa ya pesa ?Kamuulize Nyerere, BMW, Muulize Mo, Bakhresa, Waulize matajiri wakubwa wa hii nchi Wachaga ni kina nani.
Wewe kapuku huwezi elewa jambo lolote kuhusu Wachaga.
Tunajua nchi hii ni Masikini. Na wapo wachaga masikini. Lakini nakuhakikishia Matajiri wengi wakubwa katika nchi hii ni Wachaga baada ya watu wa jamii ya kiasia.
Ukitaka kujua jambo hilo fuatilia makampuni makubwa binafsi, nenda kwenye migodi, nenda kwenye sekta ya usafirishaji.
Hawa jamaa wapo juu miaka mingi sana.
Mimi sipendi ukabila. Bahari nzuri sio mchaga. Ila sishindwi kuwasifia wachaga. Kwa sababu nawajua vizuri tabia zao, utamaduni wao na jinsi walivyo.
Shida ya Wachaga ni Wezi, tamaa ya pesa, ni rahisi kukusaliti kisa pesa kama sio kukuua kabisa.
Wachaga ni Watanzania kama walivyo Watanzania wengine.
Wapo juu kuliko makabila mengi hapa nchini.
Kama wewe hukubalo jambo hili basi hata aliyekubeba tumboni na Baba yako wanajua. Sembuse wewe.
Shida ya Wachaga wanauroho wa pesa.
Sisi wachaga asili yetu ni AsiaMimi si mchagga lakini ni mkristo mzuri sana kiasi cha kufika hata Jerusalem,israel.,kitu ambacho kimenishangaza sana ni utamaduni wao wa kuchinja mnyama kila mwaka,pia wana tabia ya kuitana kiukoo na kukaa pamoja,kila mwishoni mwa mwaka,ninapo jaribu kulinganisha hizi desturi nashindwa kuelewa ispokuwa wao husali sabath,na maneno yao sana wanayotumia kama Shaloom!,/ hawamwamini yesu kristo,lakini 8% wameanza kumwamini kristo,seriously it comfuse me!,kwa nini tamaduni zi match kwa 80%.
Ni hayo tu.
Hawa watakuwa wapare. wachaga hatupo hivoNikweli lakini ukweli wa maisha yao vijijin kwao tuna ujua tulio wai kuishi kwenye vijiji vyaoView attachment 1293777
Sent using Jamii Forums mobile app