RC Mkoa wa Dar es Salaam asema atakayeleta vurugu mkoani kwangu ashughulikiwe na aliyemkamata asiachiwe

Mali ya mungu akumbuke wakati ni ukuta na kila zama na kitabu chake akuna anayejua kesho yake miaka huisha haraka
Kasahau hata Nyalandu huyu huyu alikuwa design kama Bashite wa leo (aka mtoto aliyependezwa na Bwana) enzi za JK. Siku hazigandi.
 
Back
Top Bottom