#COVID19 RC Mghwira: Kifo cha Arthur Shoo ni udhihirisho kuwa Corona imerudi hivyo wananchi chukueni tahadhari!

corona INA watu wake wa kuondoka nao.
Binafsi yangu siiogopi corona mana ni ugonjwa wa promotion
 
Huko kwetu sasa hali ni mbaya sana. Wanasema hata watu hawaendi kuzika woga umekuwa mkubwa.

Out of point, kafa mkuu wa jimbo ni Shoo askofu ni Shoo kumbe hata kwa Mungu huko zipo mbereko, sawa.

Rest Easy Man of God.
 
Shoo ni majina ya ukoo. pili katibu Shoo aliajiriwa mwaka 1984 wakati Askofu Shoo alichaguliwa kuwa askofu (na jopo la wachungaji) miaka sita iliyopita, najua uvccm mlikuwa mnatafuta namna ya kuhusisha kanisa na undugunization.
sasa kama shoo ni jina la ukoo sio ndugu hao?
 
sasa kama shoo ni jina la ukoo sio ndugu hao?
bado haiwazuii kufanya kazi sehemu moja. Mbona kijazi alikuwa katibu mkuu kiongozi na mdogo wake ni naibu katibu mkuu maliasili na utalii lakini hamkuhoji hilo, simbachawene ni waziri na mmdogo/kaka yake ni balozi kenya lakini hamjahoji, ridhiwani ni mbunge na mama yake ni mbunge lakini hamjahoji?
 
Politics zinatupereka Pabaya.. Kwani ilivyoingia ilitoka na Kwenda wapi. Ugojwa huu tunao toka ulipoingia wala haujaondoka au kurudi, Ugonjwa tunao na upo sana toka ulipoingia nchini...
Tulifanikiwa kwa kiasi kikubwa na ilipungua sana. Indicators huwa ni vifo. Ongea na madaktari, waombea misiba na wachimba makaburi watakupa trend ya sasa ya iliyopita.
 
bado haiwazuii kufanya kazi sehemu moja. Mbona kijazi alikuwa katibu mkuu kiongozi na mdogo wake ni naibu katibu mkuu maliasili na utalii lakini hamkuhoji hilo, simbachawene ni waziri na mmdogo/kaka yake ni balozi kenya lakini hamjahoji, ridhiwani ni mbunge na mama yake ni mbunge lakini hamjahoji?
hayo ya kaisari ya Mungu je? Kwa hiyo mnaiga serikali?
 
Siasa zinatupeleka pabaya sana, Juzi kazindua marathon na alisema pia hali ni shwari na wanaokufa wanafia mikoa mingine cyo kwake:(
 
hayo ya kaisari ya Mungu je? Kwa hiyo mnaiga serikali?
Kwenye maelezo yangu ya kwanza nliandika kuwa Katibu shoo aliajiriwa na kkkt mwaka 1984 na Askofu Shoo alichaguliwa na wachungaji miaka 6 iliyopita. Kama bado hujaelewa basi siwezi kukusaidia.
 
kwenye maelezo yangu ya kwanza nliandika kuwa Katibu shoo aliajiriwa na kkkt mwaka 1984 na Askofu Shoo alichaguliwa na wachungaji miaka 6 iliyopita. Kama bado hujaelewa basi siwezi kukusaidia.
Katibu mkuu ali infkuence kuchaguliwa kwa ndugu yake sababu yeye ndie mtendaji mkuu wa kanisa anayejuana wa wachungaji wote
 
RC Mghwira ambaye ameongozana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa katika ibada ya mazishi ya Shoo amesema kamati yake imetoka kutathmini hali ya maradhi haya katika mkoa na amewaomba wananchi kuendelea kuchukua tahadhari zote.
Halafu Meya anasema watu wavue barakoa mkutanoni, kweli nchi hii tumefika mahali pabaya katika matumizi ya vyeo
 
Back
Top Bottom