RC Merck Sadik aache kujipendekeza mbele ya Rais, awataje viongozi wa upinzani wanaopinga sensa

kweli chadema ni chama cha kikristo, yaani mnatafuta kujiosha kupitia CUF watanzania wameishakitambua hicho chama kuwa ni cha kidini kinapokea maelekezo kutoka KANISANI.

Cingle imeshachuja huo mwana.. Iliporikodiwa haikupata wacikilizaji mwisho wa ciku mnaishia kuimba na kucikiliza wenyewe mkiwa na familia zenu ndani.. Boci wako Nape kaambiwa athibitishe kauli yake ya cingle mpya alioitoa majuzi.. Itamtokea puani hii..
 
kwa nini shekhe ponda hakamatwi kwa kupinga shughuli halali za serikali.!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom