RC Mbeya awatolea povu kali wanafunzi aliowatandika jana na kuamuru shule nzima kurudi nyumbani.

Koffi Annan

JF-Expert Member
Dec 23, 2018
1,224
3,147
Ni asubuhi ya leo ambapo alifika shuleni hapo mapema na kuwaambia wamemsababishia kusemwa vibaya mtandaoni kisha kuamuru advance wote warudi makwao na kurejea baada ya wiki mbili na kiasi cha shilingi laki mbili na ishirini kila mmoja la sivyo watafuatwa na pingu majumbani kwao.
N.B
Wanafunzi wanaotokea mbali watafikaje makwao ilihali ni tukio la ghafla na siyo wote ambao wamefanya kosa
Je kila mzazi ataweza kupata hiyo fedha na wengine ata ada tu nishida kwao.
 
Back
Top Bottom