RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

Wakuu, mada tajwa hapo chahusika. Ni COVID 19 na maelekezo ya RC DSM versus Wizara ya Afya na WHO.

Tofauti na Wakuu wa Mikoa wengine, Bashite anatuchanganya sana. Mara kwa mara amekuwa akijitokeza mitaani na kuandaa mikutano kwa ajili ya kuzungumzia COVID-19.

Mara ya kwanza Ubungo alimshukuru Mwenyezi Mungu, Mwingi wa REHEMA kwa kumpa mtoto wa Mbowe COVID-19.

Mwenge akajitokeza tena na kusema hali ni mbaya wamiliki wa nyumba wapunguze kodi kwa 50% kisa janga la COVID-19.

Jana aliibuka tena na kukemea watu wanaofunga biashara kisa Corona.

SWALI;
Bashite unataka familia iliozika mtu kwa sababu ya COVID 19 ipo moja na kifo kilitangazwa na Wizara ya Afya

Wizara ya Afya; COVID 19 ipo Tanzania? Kama ipo je inaua? Kama haiui kwanini Wizara inaweka juhudi zote na kuelekeza mafungu ya Mwenge na nguvu kushikilia watu karantini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Corona haitishi, watu wameambiwa wakafanye kazi ingekua vyema na wanafunzi warudi mashuleni.
 
Wakati wenzetu wapo busy na Corona Sisi bado tupo Kwenye siasa.
Hili TATIZO la Corona limeshaingizwa Kwenye ilani ya CCM kinachoendelea sasa ni campaign tu
 
Hao wagonjwa wanaofichwa wamefichwa wapi au hata ndugu zao hawana au nyie ndo ndugu zao au wagonjwa wenyewe,hii Corona siyo ukimwi uogope utaambiwa ulifanya zinaa,
 
PIGA KAZI WEWE..
PIA TUSISAHAU KUMUOMBA MUNGU ATULINDE

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Back
Top Bottom