johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,820
- 141,721
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano.
Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi.
Makonda amesema kuna watu hutoa makafara ya damu ili washinde uchaguzi ikiwemo kusababisha ajali za barabarani, vifo vya watu kwenye mikutano na wengine huuwa watoto wao wachanga.
Chanzo: EATV habari
Maendeleo hayana vyama!