RC Makonda unataka kuwapa watu mtaji au una nia gani??

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,317
2,000
Ati wasiyo kuwa na kazi maalumu, ati atawatafuta nyumba hadi nyumba Mmh!!!!!!!

Kumbe unajua kunawatu wasiyo na kazi maalumu, sasa kwanini uiangaishe timu yako ya ulinzi na usalama mkoa?
Wewe sema hivi tusiyokuwa na kazi maalumu tuje hapo ofisini kwako mapema tu uone ama utuone ndo uchukue maamuzi unayotaka kuyachukua.

Umekua ni kiongozi wa matamko yani ni matamko matamko matamko hadi unaboa sasa.
Sitaki kuamini kwamba uwezo wako wakufikiri ni mdogo kama nukta ya kalamu!!!!
Inaonyesha ni kwa kiasi gani umepwaya kwenye hiyo nafasi.
Aiseee tupo wengi kweli kweli tusiyokuwa na kazi maalumu.
Sisi tunatafuta kazi ili iwe maalumu na ili idumu tofauti na wewe ulieyepachikwa hapo kama kreti ya bia kwamba unaweza kuondolewa muda wowote bosi wako atakapo jisikia kufanya ivyo.

Ukisema tuje tunakuja maana tusiyokuwa na kazi maalumu tupo.

Itumie nafasi hiyo vizuri usije ukatuaibisha sisi vijana wenzako.

SOMETIMES YOU ARE TOO BORED BROTHER, YOU HAVE TO CHANGE :
 

GREGO

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
4,196
2,000
Hakuna haja ya kukamata atangaze kuwa anatoa kazi watafika tena wengi mno....hata mikoni watakuja mjini
 

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
7,390
2,000
Kuna kale kawimbo...
Jamaa anapenda ...... huyuu, sifa za kijinga..
Upuuuz mtupu, atuite tu hapo uwanja wa taifa halaf aone hio nyomi, mbona atajificha
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
50,051
2,000
Uwezo wa uongozi wa jamaa ni wa kutia mashaka. Hadi sasa hana hata 'tangible' achievement aliyo nayo zaidi ya kuvurugana na mameya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom