RC Makonda Una Bifu Na Waziri Mkuu?

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,660
1,676
Leo Hii Ukiongea Na Mashehe Wa Dar Umejinasibu Kuwa Wauza Unga Mnaendelea Kuwadhibiti. Na Kwamba Hata Unga (ngada) Umeadimika.

Kilicho nigusa Zaidi Ni Pale Uliposema Mmesambaza Majina Ya Mnao Watuhumu Kuuza Ngada Ktk Viwanja Vya Ndege, Na Mipaka Yote Ya Nchi.

Najiuliza:
Unatoa Taarifa Ya Vita Ya Nchi Nzima Dhidi Ya Dawa Za Kulevya Kama Nani? Na Je,

Waziri Mkuu Ambaye Ndiye Mwenyekiti Baraza La Kuratibu Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya Atasema Nn?

Usijitangulize Mbele Kifront Muachie Waziri Mkuu Suala Hili.
 
Halafu wamemuweka chini katikati na kumuombea dua, kuna nini na mashehe wa dar?, mamlaka husika jaribu kumueleza ache kuongea mambo ya uchunguzi kwenye vyombo vya habari
 
Leo Hii Ukiongea Na Mashehe Wa Dar Umejinasibu Kuwa Wauza Unga Mnaendelea Kuwadhibiti. Na Kwamba Hata Unga (ngada) Umeadimika.

Kilicho nigusa Zaidi Ni Pale Uliposema Mmesambaza Majina Ya Mnao Watuhumu Kuuza Ngada Ktk Viwanja Vya Ndege, Na Mipaka Yote Ya Nchi.

Najiuliza:
Unatoa Taarifa Ya Vita Ya Nchi Nzima Dhidi Ya Dawa Za Kulevya Kama Nani? Na Je,

Waziri Mkuu Ambaye Ndiye Mwenyekiti Baraza La Kuratibu Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya Atasema Nn?

Usijitangulize Mbele Kifront Muachie Waziri Mkuu Suala Hili.
Kwa taarifa yako ni kwamba Makonda ndio makamu wa kwanza wa Rais , Samia makamu wa pili , nini waziri mkuu ?
 
Leo Hii Ukiongea Na Mashehe Wa Dar Umejinasibu Kuwa Wauza Unga Mnaendelea Kuwadhibiti. Na Kwamba Hata Unga (ngada) Umeadimika.

Kilicho nigusa Zaidi Ni Pale Uliposema Mmesambaza Majina Ya Mnao Watuhumu Kuuza Ngada Ktk Viwanja Vya Ndege, Na Mipaka Yote Ya Nchi.

Najiuliza:
Unatoa Taarifa Ya Vita Ya Nchi Nzima Dhidi Ya Dawa Za Kulevya Kama Nani? Na Je,

Waziri Mkuu Ambaye Ndiye Mwenyekiti Baraza La Kuratibu Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya Atasema Nn?

Usijitangulize Mbele Kifront Muachie Waziri Mkuu Suala Hili.

Swali bwana Kigodoro. What is your target in life. Maana. Unapenda sana kuangalia kikombe kilicho nusu tupu kuliko kilochojaa nusu. Ninapata mashaka hasa na nia yako hasa. Pengine ungekaa kimya ingependeza na ungeonekana uko mtu makini. Ama sivyo hii namna ya kuangalia mambo itaathiri sana maisha yako ya jumuiya. Familia au popte unapoishi.
 
Prince Makonda , mkuu Kigodoro umesahau ya kuwa hekima utolewa na mungu vyeo utolewa na binadamu.?
 
Leo Hii Ukiongea Na Mashehe Wa Dar Umejinasibu Kuwa Wauza Unga Mnaendelea Kuwadhibiti. Na Kwamba Hata Unga (ngada) Umeadimika.

Kilicho nigusa Zaidi Ni Pale Uliposema Mmesambaza Majina Ya Mnao Watuhumu Kuuza Ngada Ktk Viwanja Vya Ndege, Na Mipaka Yote Ya Nchi.

Najiuliza:
Unatoa Taarifa Ya Vita Ya Nchi Nzima Dhidi Ya Dawa Za Kulevya Kama Nani? Na Je,

Waziri Mkuu Ambaye Ndiye Mwenyekiti Baraza La Kuratibu Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya Atasema Nn?

Usijitangulize Mbele Kifront Muachie Waziri Mkuu Suala Hili.
Imeandikwa kwenye vitabu vitakatifu dula la mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu.
 
Leo Hii Ukiongea Na Mashehe Wa Dar Umejinasibu Kuwa Wauza Unga Mnaendelea Kuwadhibiti. Na Kwamba Hata Unga (ngada) Umeadimika.

Kilicho nigusa Zaidi Ni Pale Uliposema Mmesambaza Majina Ya Mnao Watuhumu Kuuza Ngada Ktk Viwanja Vya Ndege, Na Mipaka Yote Ya Nchi.

Najiuliza:
Unatoa Taarifa Ya Vita Ya Nchi Nzima Dhidi Ya Dawa Za Kulevya Kama Nani? Na Je,

Waziri Mkuu Ambaye Ndiye Mwenyekiti Baraza La Kuratibu Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya Atasema Nn?

Usijitangulize Mbele Kifront Muachie Waziri Mkuu Suala Hili.

Hizo ni dalili tosha kabisa za nchi kukosa uongozi thabiti
1: utashaangaa Amiri Jeshi (mkuu wa Majeshi yote), kutamani kuwa mkuu wa Polisi
2: utashangaa majeshi yenye misheni mbalimbali (police, Magereza, zimamoto) yanaambiwa yawe kama JWTZ
3: utashangaa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anakuwa Mkuu wa Mikoa yote, Anakuwa Waziri wa Mambo ya ndani, anakuwa Waziri wa Afya na ndio ANAKUWA WAZIRI MKUU,
4: utashangaa, matumizi yote ya Fedha za umma yanafanyika bila kuidhinishwa na Bunge, Uwanja ndege Chato, TRA chato, Ununuzi wa ndege, ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge, Ujenzi wa Hostel mpya za UDSM, kuamia Dodoma
5: Miimili mingine (Bunge na Mahakama) kutokuwa huru na kukosa nguvu, RC anakataa kwenda Bungeni na pia walioitwa mahakamani nao wanapingwa, Mtu kama Lema ananyimwa dhamana bila kuwa na sababu zozote za msingi
6:
 
Back
Top Bottom