johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,607
- 141,430
- Thread starter
- #141
Hahahaa.......CCM hawapotezani bhana!
Hahahaa.......CCM hawapotezani bhana!
Mkuu hapa siyo Nigeria!Hahaa na kweli kamuweka JIWE kwenye CHUPA.
Ni vibaka waliokuwa wametanda mji mzmaHii Dar bila Makonda sijui ingekuwaje, mtoto mdogo kabisa ila kaweza kudhibiti mashoga na madawa
Ujenzi wa ofisi za walimu Dar umeishia wapi, naomba zile bati pale kongowe ulizozungushia ule uzio unipe mm nika ezekee kibanda changu badala ya kuzitelekeza pale maana navujiwa.Na ule mchanga turuhusu wananchi tujigawie tutakushukuru sana na thawabu utapataMuibua projects ambaye hajawahi kumaliza hata moja.
Ujenzi wa ofisi za walimu Dar umeishia wapi, naomba zile bati pale kongowe ulizozungushia ule uzio unipe mm nika ezekee kibanda changu badala ya kuzitelekeza pale maana navujiwa.Na ule mchanga turuhusu wananchi tujigawie tutakushukuru sana na thawabu utapata
Wakazi wangapi wa Dar wana credit cards?Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema ofisi yake itaandaa utaratibu ili wakazi wa jiji la Dsm wawe wanafanya manunuzi yao kwa kutumia credit cards badala ya fedha taslimu. Makonda amesema utaratibu huo ndio unaotumika katika miji mikubwa yote duniani ambako watu wanaotumia cash ni wachache sana.
Makonda amesema utaratibu huo utawezesha kudhibiti ulipaji wa kodi kwani utaratibu wa sasa wa kutumia EFD machines unatoa mwanya wa ukwepaji kodi.
Mkuu wa mkoa Makonda amesema hayo katika mkutano wake wa kazi na watendaji wote wa Halmashauri za jiji la Dsm pamoja na viongozi wa TRA mkoa wa Dsm.
Source: Estv habari
Maendeleo hayana vyama!
Cash yenyewe ya kubeba iko wapi hapa Bongo?Angesema kuwa nia ya kuanza kutumia hizo credit card ni kuthibiti watu kutokuibiwa kwa kubeba cash money tungemuelewa. Ila kama ni kuthibiti kodi mantiki imepotea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ya kuwagawia watumishi viwanja imeishia wapiMuibua projects ambaye hajawahi kumaliza hata moja.
Una uhakika?!
Mpango aliofanikisha mpaka sasa ni kumbebesha mke wake mimba ya kupandikiza.Huyu BASHITE ana mipango kama milioni hivi na hajawahi kufanikisha mpango wowote.
Umenikumbusha mbali