RC Makonda : Nani alikuwa anampigia simu uwanja wa ndege wa mwalimu Nyerere

Habarini wana jamvi.

Jana tarehe 13 February, 2017 tulimsikia RC wa mkoa wa DSM, Bwana Makonda, akituhumu mmoja wa watoto wa viongozi wa awamu zilizopita, alikuwa anahusika kuwapigia simu wana usalama wa pale JNIA ili kurahisisha usafirishaji au uingizaji wa madawa ya kulevya nchini. Na inasemekana katika list aliyokabidhi kwa Commissioner General wa Drugs Control and Enforcement Authority, jina la huyo muhusika yupo....wananchi wa mkoa wa Dar es salaam, tumechoka na kero za dawa za kulevya, tunamtaka RC MAKONDA amtaje hadharani ili tumjue na ikibidi afikishwe mahakamani kushitakiwa.

Nawasilisha.

limutombuzo katangaza kuongezeka safari za nje baada uwanja kuwa hauna mshundani...
 
I guess jamaa ni concerned citizen... Na Ana haki ya ku-voice mawazo yake.
...kwahiyo kwa kuwa 'concerned citizen' otomatikale unakuwa na mamlaka na madaraka ya kuwasemea watu na ku-'order' tu,tena kwa vitu ambavyo 'vinasemekana',
...sio?
 
Amtaje yule aliyekuwa akimfunga nyuzi za viatu???? Haaa haiwezekani. Akimtaja na akafikishwa mahakamani akahukumiwa mimi nipo tiyari kufungwa naye. Na nipo tyar kuwa kiburudisho chake gerezan miaka yote.
 
Habarini wana jamvi.

Jana tarehe 13 February, 2017 tulimsikia RC wa mkoa wa DSM, Bwana Makonda, akituhumu mmoja wa watoto wa viongozi wa awamu zilizopita, alikuwa anahusika kuwapigia simu wana usalama wa pale JNIA ili kurahisisha usafirishaji au uingizaji wa madawa ya kulevya nchini.

Na inasemekana katika list aliyokabidhi kwa Commissioner General wa Drugs Control and Enforcement Authority, jina la huyo muhusika yupo.

Wananchi wa mkoa wa Dar es salaam, tumechoka na kero za dawa za kulevya, tunamtaka RC MAKONDA amtaje hadharani ili tumjue na ikibidi afikishwe mahakamani kushitakiwa.

Nawasilisha.
Sasa umeandika nini hapa?,hebu rudia kusoma kama utaelewa,au lengo la uzi wako ni nini?
 
Hio kaz sio ya konda tena ina mwenyewe kamishna wa madawa na ndo kaz yake sio kutaja taja ovyo...na ameshasema hatakua anataja taja majina ovyo ovyo..uchunguzi unafanyika na hata ukiisha uchunguzi na wakpata evidence za kutosha mtashtukia tu mtu flan anashikiliwa na ndo inavotakiwa iwe...sasa mmezoea kusikia sikia tu majina ovyo.ovyo ..hii ni drug issues sio kesi za kuku hizi..
 
chezea?
2ca2062310559ec40c8dfa37f9c0e49f.jpg
 
Habarini wana jamvi.

Jana tarehe 13 February, 2017 tulimsikia RC wa mkoa wa DSM, Bwana Makonda, akituhumu mmoja wa watoto wa viongozi wa awamu zilizopita, alikuwa anahusika kuwapigia simu wana usalama wa pale JNIA ili kurahisisha usafirishaji au uingizaji wa madawa ya kulevya nchini.

Na inasemekana katika list aliyokabidhi kwa Commissioner General wa Drugs Control and Enforcement Authority, jina la huyo muhusika yupo.

Wananchi wa mkoa wa Dar es salaam, tumechoka na kero za dawa za kulevya, tunamtaka RC MAKONDA amtaje hadharani ili tumjue na ikibidi afikishwe mahakamani kushitakiwa.

Nawasilisha.
weeeeeeee.......................! ngoja kwanza mafuta ya taa yaongezwe kwenye 'kibatari'
 
Amtaje yule aliyekuwa akimfunga nyuzi za viatu???? Haaa haiwezekani. Akimtaja na akafikishwa mahakamani akahukumiwa mimi nipo tiyari kufungwa naye. Na nipo tyar kuwa kiburudisho chake gerezan miaka yote.
Najaribu kukuelewa ila nashindwa ,ukawe kiburudisho chake kivipi huko gerezani ?
 
Habarini wana jamvi.

Jana tarehe 13 February, 2017 tulimsikia RC wa mkoa wa DSM, Bwana Makonda, akituhumu mmoja wa watoto wa viongozi wa awamu zilizopita, alikuwa anahusika kuwapigia simu wana usalama wa pale JNIA ili kurahisisha usafirishaji au uingizaji wa madawa ya kulevya nchini.

Na inasemekana katika list aliyokabidhi kwa Commissioner General wa Drugs Control and Enforcement Authority, jina la huyo muhusika yupo.

Wananchi wa mkoa wa Dar es salaam, tumechoka na kero za dawa za kulevya, tunamtaka RC MAKONDA amtaje hadharani ili tumjue na ikibidi afikishwe mahakamani kushitakiwa.

Nawasilisha.
Madon wamezuia majina yasitajwe
 
MUNGU WETU ATOSHA...!
 
Back
Top Bottom