Paul Makonda na watoto "feki" akwama, aliyesema mtoto wa Lowassa faili lake laanikwa ni kada wa CCM

Kwani mleta mada lengo lako hasa ni nini? nauliza tu.
Mleta Mada Lengo Lake Ni Kuwa Bashite, Hana Nia Nzuri, Na Anayofanya Sio Kazi yake, Pili anatumia Wanawake na Watoto, Kuwadhalilisha, na Kudhalilisha Watu wengine. Na mwisho wa siku hana Uwezo wa Kuwasaidia, Kwa Kuwa When it comes to these issues Bashite, au Makonda is Nobody! Kama anania Nzuri MaTV Cameras ya Nini? Huyu Ni Political Scavenger, Ni sawa na Kunguni ambaye hana Aibu akitaka Damu atakunywa ya Mtoto Mchanga au hata Mgonjwa!
 
Hivi hao wanasiasa mnaosema Leo wanachafuliwa kuwa na watoto kwani hawajapitia haya maisha yetu ya Hit and Run na wakazaa na enzi hizo Condom hazikuwepo kama sshv akapime DNA amalize mchezo
 
kama alikua ccm huyo mama na lowasa si alikuwa ccm kipindi hicho.hakuna anaye jua ya binadamu kiundani
 
Lowassa na Kikwete walikuwa ni "vipanga" wakati wa ujana nao!

Tatizo lenu mnadhani wanasiasa ni Miungu!

Nenda Dodoma ukajionee yanayofanywa na wanasiasa baada ya vikao vya bunge jioni ili ujifunze kuwa wanasiasa ni binadamu kama wewe kwa maana kuwa "mashine" zao zinafanya kazi katika "mazao" ya aina zote.

Kwani kuwa na mtoto nje ya ndoa ni kosa la jinai?

Kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumteteta mwanamme utadhani ninyi ni wake zake?

Hujui kuwa na Lowassa alikuwa kada wa CCM na kwa mantiki hii alikuwa na nafasi nzuri ya kumpata kada mwenzake!

Leo Yericko amekuwa ni mtetezi wa Lowassa wakati kabla ya 2016 alikuwa analeta thread kila siku za kumponda Lowassa?

Hii dunia ni mviringo

Tutasikia na kuona mengi?
Niliwahi kuoneshwa mtoto wa kikwete wa nje uku Zanzibar mitaa ya Mombasa, alikuwa akitoka shule kurudi kwao.
 
huyo mama akiingia anga nampiga triplets nisikie atatetewa na nani....ukinikalia uchi kamwe sikuachi !!!!!
 
Return Of Undertaker Hii hoja ni dhaifu sana. Hata Fred lowassa Floral Lowassa ni makada wa chama cha Mapinduzi haijalishi kuwa kada.
Hapa hoja ni kwamba ni mtoto wa Lowassa au Lah.

Masuala ya Itikadi haiwezi kumfanya mtu asiwe mtoto wa kiongozi yeyote hapa nchini.
Mwambieni Yeriko aende akamtafue babake aache kujipachika ukoo wa Nyerere
Yericko ni mtoto wa Kiboko Nyerere hana haja ya kutafuta baba yake. Tofauti tu labda Kiboko alisingiziwa mimba ya Yericko lakini mradi Kiboko alimkubali Yericko kama mtoto wake basi ni mwanafamilia ya Nyerere.
 
Wakati wa Utawala wa MWENDAZAKE Bw.BASHITE akiwa Mkuu wa Mkoa aliandaa KAMPENI ya kupambana na Wanaume waliotelekeza Watoto wao.Wanawake wengi walijitokeza Ofisini kwa Bw. BASHITE na Miongoni mwao alijitokeza Mwanamke mmoja akitokea UNGINDONI Kigamboni na Kudai ni Mtoto wa Mzee EDU.Bwana BASHITE alimtaka Mzee EDU alifike OFISINI kwake mara moja kujibu hizo Tuhuma lakini Mzee EDU ALIPUUZA hilo AGIZO .BAADAE ilikuja kubainika kuwa yule Mwanamke Aliandaliwa ili ADAI Baba yake ni MZEE EDU na kuwa KAMTELEKEZA lakini ukweli ulibainika kuwa yule Mwanamke Ana MUME wake na Watoto watatu na ni Mzaramo wa Mkoa wa Pwani na Wala HAMJUI wala HAMFAHAMU Mzee EDU

.Kampeni ile iliwafanya Wanawake wengi wajitokeze na kumsifia Bw.BASHITE kwa matarajio ya kutatuliwa Matatizo yao na mwisho wa Siku hakuna kilichotatuliwa.Anachofanya Bw.BASHITE
kwa Sasa ni Kuwadhalilisha VIONGOZI wenzake kwa Style ile ile ya MWENDAZAKE ili aonekane yeye ni Mtetezi wa WANYONGE

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Huyu nyamitako amefanya siasa za majitaka sana na bado kuna wapumbavu wanamuona ni mtu wa maana
 
Back
Top Bottom