Paul Makonda na watoto "feki" akwama, aliyesema mtoto wa Lowassa faili lake laanikwa ni kada wa CCM

Lowassa na Kikwete walikuwa ni "vipanga" wakati wa ujana nao!

Tatizo lenu mnadhani wanasiasa ni Miungu!

Nenda Dodoma ukajionee yanayofanywa na wanasiasa baada ya vikao vya bunge jioni ili ujifunze kuwa wanasiasa ni binadamu kama wewe kwa maana kuwa "mashine" zao zinafanya kazi katika "mazao" ya aina zote.

Kwani kuwa na mtoto nje ya ndoa ni kosa la jinai?

Kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumteteta mwanamme utadhani ninyi ni wake zake?

Hujui kuwa na Lowassa alikuwa kada wa CCM na kwa mantiki hii alikuwa na nafasi nzuri ya kumpata kada mwenzake!

Leo Yericko amekuwa ni mtetezi wa Lowassa wakati kabla ya 2016 alikuwa analeta thread kila siku za kumponda Lowassa?

Hii dunia ni mviringo

Tutasikia na kuona mengi?
Hakuna anayemtetea maana hakuna asiyejua kua mzee anauwezo wakuzalisha ila watu wanachojaribu kuhoji ni jinsi tukio lilivyokuja.Uyo dada anasema alimtafuta lowasa bila mafanikio toka akiwa darasa la sita.hivi uyu lowasa kawa watu wasiojulikana kipindi chote icho ashindwe kumwona.Na hata kama alienda akakataliwa alipeleka swala lake wapi ili lishughulikiwe.Na kibaya zaidi uyo mama ni mtu mzima sasa nayeye anataka malezi gani sasa hivi had ajitokeze kwenye tukio la wanawake waliotelekezwa na watoto nasasa wanapata shida kuwalea.Hii inatia ukakasi.
 
Ibara ya 16 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema; "Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake binafsi".

Baada ya huyu mama kujitokeza na kudai ni mtoto wa Lowassa niliamua kumfatilia, nimejaribu kumfatilia kwa ufupi huyu mama, bahati nzuri naishi nae huku Kigamboni namfahamu vizuri sana ni kada mtiifu wa CCM.

Jina lake halisi anaitwa Fatuma Selemani Chikawe, mtu wa Kusini huko Wilaya ya Nachingwea, amekulia Magomeni kwa mjomba wake aitwaye Majuto Yusufu Kamba na maisha yake yalikuwa ya getogeto tu, kwasasa anaishi mtaa wa Ungindoni Kata ya Mjimwema hapa Kigamboni.

Ameolewa na Musa Mwakifambwe mjumbe wa jumuiya ya wazazi CCM mkoa wa Dar na kabla ya kuolewa na huyu kada mwenzake aitwaye Mwakifambwe, alizaa mtoto na bwana ambae anafahamika kama Kibona Ally Pesa mbili wa Gongolamboto.

Wote wawili ni makada watiifu wa CCM, nyaraka za mama huyu zote zinamuonyesha ni Fatuma Selemani Chikawe na sivyo anavyodai. Anaweza kuwa kweli ni mtoto wa Lowassa au laa, hilo halina maana wala sio msingi wa hoja yangu, kwakuwa ndugu zake hao wapo Monduli na Mikocheni tu hapo angesafiri tu na kujitambulisha, waswahili husema mtoto ni baraka.

Hoja kuu ni timing ya jambo hili na inavyoendeshwa kisiasa hapa ndio utata ulipo na lazima kuwepo njia za za haraka za kulikabili, jambo hili halina tofauti na ile misheni ya kudhalilisha watu akina Mbowe, Gwajima, Manji nk, kwa kigezo cha vita ya madawa ya kulevya.

Taarifa zingine za mama huyu zinahifadhiwa kwaajili ya baadae.

Utapeli huu wa CCM na vibaraka wao uishie katika vibaraza vya Lumumba.


Na Yericko Nyerere


Soma: Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

Soma: Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua
Kwani kuwa kada kwa CCM na kutekelezwa kuunahusiana vipi,hata huyo lowasa alikuwa kada wa CCM
 
Hakuna anayemtetea maana hakuna asiyejua kua mzee anauwezo wakuzalisha ila watu wanachojaribu kuhoji ni jinsi tukio lilivyokuja.Uyo dada anasema alimtafuta lowasa bila mafanikio toka akiwa darasa la sita.hivi uyu lowasa kawa watu wasiojulikana kipindi chote icho ashindwe kumwona.Na hata kama alienda akakataliwa alipeleka swala lake wapi ili lishughulikiwe.Na kibaya zaidi uyo mama ni mtu mzima sasa nayeye anataka malezi gani sasa hivi had ajitokeze kwenye tukio la wanawake waliotelekezwa na watoto nasasa wanapata shida kuwalea.Hii inatia ukakasi.
Nimeupenda mchango wako wenye kutoa mwanga wa kile kilicholengwa kufanywa na mhusika mwenye wanawake wake! Nauona mwisho wa mchezo huu kuwa na fadhaa kuu kwa mwandaaji kwani badala ya kusaidia tatizo amelizidisha na zaidi kakiuka sheria na faragha za watu!
Huyo dada katengenezwa tu kuja kumchafua mzee wa watu asiye na makuu! Nikimaanisha kuwa, kwa mila za kwetu umasaini ni kosa kumkataa mtoto hasa wa kike kwani ni mali sana! Kwa maana hiyo EL asingeweza kumkataa mtoto kwa jinsi anavyoziheshimu mila na utamaduni wake wa kimaasai! Huyo hana tofauti na yule wa clouds na kama ikibidi EL amshtaki na kuiomba mahakama isaidie kumtaka akapimwe akili na DNA!
 
Nani kamtetea Lowassa hapo Yericko kaeleza anavyomjua huyo ajuza, hata hivyo sijui lengo la huyo ajuza ni nini kumjua baba yake au kusaidiwa, maana mtu anatambulika ni mtoto akiwa chini ya miaka 18 sasa yeye kaolewa ana mme na watoto kibao anataka asaidiwe kitu gani.
Na kwa mila za kimasai na kimeru mwanamke hana urithi.Sasa sijui anatafuta nini huyu?
 
Mkuu nimejaribu kufuatilia hoja za wengi wanaojaribu kuhoji hili suala na mantiki zao..
Mantiki za wengi sio suala la binti kuwa mtoto wa Lowassa au lah.
Mantiki iko kwenye umri wa binti wa miaka 30 anayedai kumtafuta baba yake Lowassa bila mafanikio mpaka aende kusaidiwa na Makonda... Lowassa ni public figure na unapokuja na suala kama hili lazima utoe uthibitisho wa wazi kama kuweka wazi juhudi alizopitia kumtafuta huyo baba yake Lowassa, mfano kwenda ofisini kwake, kwenda kwa marafiki wa Lowassa nk.. Pia katika hili mama wa Mhusika alichukua hatua gani mfano kwenda Ustawi wa jamii, taasisi za dini, viongozi wa kiroho wa Lowassa na wazee wa kimila wa Lowassa...

Lowassa ni mmasai, na Lowassa ni mmasai ambaye kwa namna moja au nyingine anaonekana anafuata sana mila za kimasai, kwa mila za kimasai hata uwe na watoto wangapi nje lazima mwisho wa siku woote waje kwenye boma...

Lowassa ni mwanaume kama wanamume wengine, anaweza kweli kuwa na mtoto au watoto wa nje lakini sio kwa namna hii au kwa sinema hii, 30+ mtoto anamtafuta eti baba yake kupia media na kwa mkuu wa mkoa lakini yeye mwenyewe ameshindwa kumface baba yake physically na Baba yake huyu alishawahi kuwa PM na mgombea Urai aliyepata kura 6mili.

Kama ni siasa ni vyema zikafanyika siasa zenye akili na mantiki ili watanzania waerevu wazipime na si siasa hizi za kitoto..

Point!
 
Baada ya huyu mama kujitokeza na kudai ni mtoto wa Lowasa niliamua kumfatilia, Nimejaribu kumfatilia kwa ufupi huyu mama, bahati nzuri naishi nae huku Kigamboni namfahamu vizuri sana ni kada mtiifu wa CCM,

Jina lake halisi anaitwa Fatuma Selemani Chikawe, mtu wa Kusini huko Wilaya ya Nachingwea, amekulia Magomeni kwa mjomba wake aitwaye Majuto Yusufu Kamba, na maisha yake yalikuwa ya getogeto tu, Kwasasa anaishi mtaa wa Ungindoni Kata ya Mjimwema hapa Kigamboni.

Ameolewa na Musa Mwakifambwe mjumbe wa jumuiya ya wazazi ccm mkoa wa Dar, na kabla ya kuolewa na huyu kada mwenzake aitwaye Mwakifambwe, alizaa mtoto na bwana ambae anafahamika kama Kibona Ally Pesa mbili wa Gongolamboto,

Wote wa Wili ni makada watiifu wa ccm, nyaraka za mama huyu zote zinamuonyesha ni Fatuma Selemani Chikawe na sivyo anavyodai... Anaweza kuwa kweli ni mtoto wa Lowasa au laa, hilo halina maana wala sio msingi wa hoja yangu, kwakuwa ndugu zake hao wapo Monduli na mikocheni tu hapo angesafiri tu na kujitambulisha, waswahili husema mtoto ni baraka.

Hoja kuu ni timing ya jambo hili na inavyoendeshwa kisiasa hapa ndio utata ulipo na lazima kuwepo njia za za haraka za kulikabili, jambo hili halina tofauti na ile misheni ya kudhalilisha watu akina Mbowe, Gwajima, Manji nk, kwakigezo cha vita ya madawa ya kulevya.

Taarifa zingine za mama huyu zinahifadhiwa kwaajili ya baadae.....

Utapeli huu wa ccm na vibaraka wao uishie katika vibaraza vya lumumba...

Na Yericko Nyerere
FB_IMG_1523471707376.jpg
 
Le mutuz yuko wapi nae kakimbia familia usa,supika nae kakimbia familia tabata segerea.
Hivi wagogo wanashida gani wao ni kukimbia familia tu
 
Wewe mleta mada ndio uliyeleta hili andiko kisiasa

Nje ya siasa wanasiasa ni binaadamu kama mimi na wewe na wanatenda kama yale unayotenda mimi na wewe........

Kwanini jambo baya akilitenda mwanasiasa kwa ubinaadamu inatumika siasa kumlinda sana mwanasiasa huyo......!!?
Ni kweli mkuu,wana siasa ni binadamu tu,hebu tumia akili ulizopewa na Mungu ili ubaini ukweli,hivi mama mtu mzima huyo alisubiri hadi Makonda ndo amtaje Lowassa kuwa ndo babake? damu ni nzito sana,alishindwa kwenda hata mahakamani kama alitimuliwa na Lowassa na kukataliwa? kwanini tunakuwa wajinga hivyo ?kesho ataibuka chotara wa kizungu na kusema ni mtoto wa clinton mafala watakubali ni kweli kwa sababu clinton alikuwa kiwembe.
 
Lowassa na Kikwete walikuwa ni "vipanga" wakati wa ujana nao!

Tatizo lenu mnadhani wanasiasa ni Miungu!

Nenda Dodoma ukajionee yanayofanywa na wanasiasa baada ya vikao vya bunge jioni ili ujifunze kuwa wanasiasa ni binadamu kama wewe kwa maana kuwa "mashine" zao zinafanya kazi katika "mazao" ya aina zote.

Kwani kuwa na mtoto nje ya ndoa ni kosa la jinai?

Kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumteteta mwanamme utadhani ninyi ni wake zake?

Hujui kuwa na Lowassa alikuwa kada wa CCM na kwa mantiki hii alikuwa na nafasi nzuri ya kumpata kada mwenzake!

Leo Yericko amekuwa ni mtetezi wa Lowassa wakati kabla ya 2016 alikuwa analeta thread kila siku za kumponda Lowassa?

Hii dunia ni mviringo

Tutasikia na kuona mengi?
Ndo zao... Hata Wema alipoambiwa fly to KIA walitoka mapovu kama wanakichaa
 
Back
Top Bottom