Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,082
Anajibu maswali yanayoulizwa na watz
Watu tuna mambo mengi ya kufanya,mtazame weweAnajibu maswali yanayoulizwa na watz
Ni kweli pia lakini ni muhimu kumcheki tufahamu anachoongea ili badae tuyadadavue anayoyangeaWatu tuna mambo mengi ya kufanya,mtazame wewe
Mkuu huyu kwa sasa ni RC sio DC,mpe haki yake.Anajibu maswali yanayoulizwa na watz