RC Makonda kutimiza mwaka mmoja madarakani kesho

Credibility yake imeshuka sana ukilinganisha na alivyoanza, graph ya utendaji inashuka kwa kasi.
 
Atatoa neno la shukrani.Source magazetini
Nampa HONGERA sana kwa kazi nzuri.
Ila ushauri wangu kwake.
ASIKUBALI kuyumbishwa na CYBER BULLYING/ UUMIZWAJI wa KIMAWAZO wa KIMITANDAO.

Lazima ASIMAME kama MWANAMME na ASIJIBIZANE nao na wala KUTAJA lolote kuhusu yale yanayosemwa.
I wish him the best!
 
Nampa HONGERA sana kwa kazi nzuri.
Ila ushauri wangu kwake.
ASIKUBALI kuyumbishwa na CYBER BULLYING/ UUMIZWAJI wa KIMAWAZO wa KIMITANDAO.

Lazima ASIMAME kama MWANAMME na ASIJIBIZANE nao na wala KUTAJA lolote kuhusu yale yanayosemwa. Wish you the best!
Ni mkuu wa mkoa yupi atakayetoa hiyo shukrani? Ni original (Daudi) au photocopy(Paulo)??
 
Jamaa ana roho saba kama za paka. Waziri Kairuki hatutaki kusikia habari za vyeti au INDEX namba mpaka ufanye uhakiki kwa huyu BASHITE.
 
Back
Top Bottom