RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

Mm binafsi naomba kujuzwa biological wepons ni nini?
Kwa kudadavua vizuri.
Kwa maelezo ya RC kwenye hotuba yake ni bacteria, viruses waliopandikizwa au sumu hatari wanaotumiwa/zinazotumiwa kuambukiza maadui waangamie. Na akasema, hata hawa nzige wa jangwani waharibufu,wamepandikizwa ili........
 
  • Kicheko
Reactions: 1gb
Hahahahahaha hahahahaa..
Mkuu kutumia nyuki si wanaweza anza na huyo atakaye pasua huo mzinga.
Umenichekesha sana
Hii ni kauli tata sana. Kusema "biological weapon" ktk mkutano wa kimataifa ukizingatia kuna janga la COVID 19 ni kukanganya watu.

Huenda wahudhuriaji wakatafsiri vibaya, mfano akiwapo mchina atajihisi yeye ndio weapon husika kutokana na kuhusishwa na covid 19; ama mmarekani kajihisi yeye ndio anasemwa kutokana na nadharia zinazomhusisha na covid 19; ama wahudhuriaji wakadhani kuwa kitu covid 19 kilishafika Tanzania.

Tanzania sidhani kama tuna maabara ya kutengeneza biological weapon, labda kutumia nyuki kwa kupasuamizinga ya nyuki alipo adui yetu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujawahi bwana,biological weapons ni kama mtu atengeneze virus wa ebola makusudi kabisa atuwekee hapa tanzania.Siku hizi namsoma sana Lemutuz anaongea kuhusu CONVI19 ni biological weapon kutoka USA kwenda kwa wachina.
Nakubaliana na wewe, Nina mashaka kama wengi humu wanaelewa wanachopinga pinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20200223-175715-picsay.jpeg
 
Alikuwa anatahadharisha kwamba kutokana na vita vya kiuchumi wenzetu wanatumia silaha kibao. Some of the weapons ni "democracy " ambayo hata wao hawako vizuri. Weapon ya pili "wanaweza" kutumia hata biological weapon kama virusi n.k. hajasema "tayari nchini kuna biological weapon kama mada inavyosomeka". Mkiambiwa kwamba UFIPA mlishaishiwa AGENDA mmebaki na kudandia MATUKIO mnakasirika. Endeleeni hivyo hivyo mtaona at the end of the election nini mtaambulia
Vijana wagumu kuelewa na siasa ndani yao

Umedandia ungo kwa mbele,umeshindwa kuelezea umetoa mipasho tu,angalia usijejikuta unakatika
 
Alikuwa anatahadharisha kwamba kutokana na vita vya kiuchumi wenzetu wanatumia silaha kibao. Some of the weapons ni "democracy " ambayo hata wao hawako vizuri. Weapon ya pili "wanaweza" kutumia hata biological weapon kama virusi n.k. hajasema "tayari nchini kuna biological weapon kama mada inavyosomeka". Mkiambiwa kwamba UFIPA mlishaishiwa AGENDA mmebaki na kudandia MATUKIO mnakasirika. Endeleeni hivyo hivyo mtaona at the end of the election nini mtaambulia

..vita ya kiuchumi na nani?

..SGR tumeenda kukopa kwa mabeberu.

..ndege tumenunua kwa mabeberu.

..Stieglers tutakwenda kukopa kwa mabeberu.

..elimu tunakopa toka WB taasisi inayoongozwa na mabeberu.

..Viongozi wanasema uongo. Kudai kwamba kuna vita ni mbinu ya kutafuta kuungwa mkono na wananchi wasio na uelewa.
 
Na mimi nimeshangaa sana, unaongea speculations kwenye international forum kama ile, eti unaweza kukuta nzige wametengenezwa ili waje kuharibu mazao wasababishe njaa, hivi ni lazima kuongelea vitu ambavyo huna facts kwenye hiyo forum, mambo ambayo unatakiwa uyaongee kwenye vijiwe vya kahawa
 
Nzige akiwa amechorwa kwenye jiwe 4000bc
03BGKR0P-1.jpg

220px-Maler_der_Grabkammer_des_Horemhab_002-1.jpg

Nzige akiwa amechorwa kwenye Kaburi la Tutmoses wa tatu miaka 4000kabla ya yesu

Sasa leo anakuja mjinga mmoja kuwaaminisha wanaCCM kuwa ati wametengenezwa ili kumpiga vita Magufuli
Heheheee!!!...bhagoosha? Acheni bhongo yenu
 
Ukimpa mtu mic, hana cha kusema, hajui cha kusema, hata speech rahisi tu ya msiba wa Mengi anaharibu.

Matokeo yake ndiyo haya.

Kama ukumbi una biological weapons, mkuu wa mkoa alitakiwa kuahirisha mkutano.

Kama ukumbi hauna biological weapons, kusema ukumbi unaweza kuwa na biological weapons ni irresponsible.

Ukichukua mtu hana elimu, ukampa madaraka kwa sababu anajikomba tu, matokeo yake ndiyo haya.

Sent using Jamii Forums mobile app

I doubt he even knows what biological weapons are..

Si ajabu kasikia hayo mambo yanazungumziwa redioni na kwenye runinga halafu na yeye akaamua ayarudie hayo maneno ili aonekane ‘anajua’ mambo.
 
I doubt he even knows what biological weapons are..

Si ajabu kasikia hayo mambo yanazungumziwa redioni na kwenye runinga halafu na yeye akaamua ayarudie hayo maneno ili aonekane ‘anajua’ mambo.
Yeye anaweza kuwa hatari kuliko biological weapons.

Kauli kama hii kwa nchi zilizoendelea ingeweza kuangusha confidence katika uchumi na kuangusha stock markets.

We are currently a laughingstock of the world.

Is this the best we can do?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kauli yake ya "nzige kutengenezwa na kusambazwa" inawezekana kabisa. Tatizo la bwana yule ni kuropoka.

Nzige ni salaha nzuri sana kwa nchi maskini....unazalisha mayayai tu na kutegea kuyamwaga majira ya kipindi mazao yanaanza kukua.
 
Back
Top Bottom